Haya kaka
Ila baadaye usitafute huruma maana hapa unapandisha watu hasira!
Kama mmeamua kupuuza walio- “susa” mbona mko bize mnawateka hovyo!
Eniwei Karma is really subiri inakuja haiko mbali
#TutaelewanaTu
Sheikh wangu ni muislam safi. Watu wema wapo ndani ya dini zetu. Mungu akubariki sana Sheikh wangu. Mungu akupe rehema zake kwa kusema ukweli na kutetea haki za watu. Watawala sasa wanagombea lakini hawataki na hawajawahi kuzungumzia neno utekaji hata kwa bahati mbaya – maana…
Kimara Kona, Ubungo, Dar es Salaam, asubuhi ya leo.
Wananchi wanaimba “tunamtaka Tundu Lissu”. Mbogamboga mchezo wenu wa kuwalazimisha wananchi kuwapenda kwa lazima haujazaa matunda. Pamoja na kumtunza TAL gerezani siku 180 anakumbukwa na wananchi na wanaimba jina lake bila…
Breaking News:
Wanaharakati wa mitandaoni Innocent Paul Chuwa (Kiduku) na Farida Mikoroti muda mfupi uliopita leo, Jumatano Oktoba 01.2025 wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam walipokuwa wanashikiliwa takribani juma moja…
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu kuwakimbia Polisi.
Watuhumiwa hao ni Marwa Nyahende, Edward Kayuni na Websta Mwantebele lakin ukweli ni kwamba hao…
‼️🚨 ANOTHER TIKTOKER ABDUCTED AND ILLEGALLY DETAINED IN #Tanzania 🚨‼️
Godwin poppularly known as Izack Tz was taken by police in Mbeya, held incommunicado and without bail for 8 days and now has been transported to Dar es Salaam - for “cybercrimes” whereby he declared he will…
‼️🚨 ANOTHER TIKTOKER ABDUCTED AND ILLEGALLY DETAINED IN #Tanzania 🚨‼️
Godwin poppularly known as Izack Tz was taken by police in Mbeya, held incommunicado and without bail for 8 days and now has been transported to Dar es Salaam - for “cybercrimes” whereby he declared he will…
Leo tumepata bahati ya kushiriki ibada ya kumuaga Mzee Benjamin Bagonza.
Mzee Bagonza ni baba wa Askofu Benson Bagonza.
Wasifu wa mzee Bagonza umeeleza historia ya mtu wa msimamo na haki.
Tunakupa pole sana baba Askofu Bagonza kwa kuondokewa na baba.
Mwenyezi Mungu awape…
Sweta lake alilovaa limeandikwa gari la Mungu. Mungu atamlipia kisasi kikubwa sana. Look at this guy !! Jamani , alikuwa ana hatari gani huyu mtoto kwa usalama wa Nchi ? Why ? Halafu mnauliza hasira za wananchi zinatoka wapi ?
Account ya IG ilikula Umeme ikiwa na 52k akafungua nyingine ambayo saizi ina 203k hii nayo imekula umeme. Hii ni zaidi ya Account kwa mwanangu atakayetisha kuirudisha hii nina 3M mfuko wa Shati.
Baada ya upande wa mashtaka kusoma mashtaka ya uhaini ambayo yanamkabili Tundu A.M Lissu pia wamesoma orodha ya mashahidi 30 ambayo wanapanga kuwatumia. Mashahidi wengi wa mashtaka ni maafisa wa Polisi. Pia wamesoma orodha ya vielelezo 10 ambavyo watavitumia. TAL amesema hana…
#TANZANIA: JOHN HECHE ASHANGWAZA NA MUENENDO WA KESI YA LISSU
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara, @HecheJohn awaka vikali nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Septemba 22, 2025 akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya sakata la kesi ya @TunduALissu ya Uhaini, adai…
Lissu ni unpredictable sana 😁. Miongoni mwa watu aliwaita kama mashahidi wake ni @MarthaKarua@bonifacemwangi . Wana harakati na wana sheria nguli wa KENYA 🇰🇪 Hii ngoma ni ngumu sana aiseee. 😂😂
1K Followers 7K FollowingWITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
4K Followers 3K FollowingCO-Founder at @RefreshAfrica_ |Professional Teacher|Social media Influencer|Human right ambassador|Socio-Political Analyst| & |Pan-Africanist|
960 Followers 6K Following📊Investment Management Company 📉$Investing Pro S $Helping To Make More Money 📉$Unlock The Potential Of Daily/ Weekly Profit Empowering Lives
18K Followers 57 FollowingHasta La Victoria Siempre.
Mpaka Ushindi Bila Kuchoka✊
DM for anything i reply instantly,
News, Ads, Claim, info.
#Oktobatunazika
#KataaWahuni
16K Followers 220 FollowingDirector of Publicity and Communications CHADEMA|Secretary General of the Women wing in Kinondoni Region|Mom|Citizen of my Nation.
9K Followers 36 FollowingTanzanian by name Dr Hezron Lwaitama dr of facial plastic and reconstructive surgery at the Johns Hopkins University School of Medicine Phone :+1(301)366-9612
21K Followers 259 FollowingPastor | Former Member of parliament-iringa constituency 2010 -2020 | Former Shadow Minster for Natural Resource and Tourism 🇹🇿
16K Followers 7K Following@Mapambano ya Madaraka.kupitia kujenga hoja.@MCHAMBUZI wa historia ya Dunia.
-Mwanaharakati Mwandamizi ngazi Jamii.
-Muandishi wa Maswala ya Sheria.⚖
37K Followers 8K FollowingHuman Rights Lawyer, Researcher and Policy Analyst- CEO THRDC. Regional Director East African Human Rights Institute. Defending human rights is not a crime
29K Followers 1K FollowingTanzanian Musician |Rapper n singer|actor n writer. Contact:[email protected]| click link To Stream Mshua Audio Ft Linah Sanga
10K Followers 10K FollowingAssistant Resource Mobilizer, PRO @USJM_Official
USJM Emeritus Guild President, for more information
WhatsApp or Call: +256 704 871 365 🇺🇬
29K Followers 972 FollowingFather | Mineral Processing Engineer | Human Right Activist| Paralegal | Member @ChademaTz | @ManUtd
| Boss Himself | StoryTeller | 430'2023
5K Followers 1K FollowingSecretary General CHADEMA Women Wing 2025 - Member of Parliament EAC 2017-2022 FSSC &TQMS Lead Auditor Public Health Specialist