• Oktoba29 Profile Picture

    Hasta La Victoria Siempre @Oktoba29

    3 weeks ago

    Hakuna CCM asie itaka Chadema. Tuivunje CCM mtandao na tuijenge upya CCM na tushindane kwa HAKI. #Kataawahuni

    Oktoba29 tweet picture

    18 206 1K 36K 14
    Download Image
  • TonnyAdamms Profile Picture

    Tonny @TonnyAdamms

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Tundu Lissu stands for Purity, Honesty, Patriotism. Siyo Maujinga Yenu ya Usaliti na Uhaini.

    0 1 5 607 0
  • MadeinChunya13 Profile Picture

    SELF MADE BILLIONAIRE @MadeinChunya13

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Fanyeni kazi

    MadeinChunya13 tweet picture

    0 0 3 668 0
    Download Image
  • geofreymat87205 Profile Picture

    geofrey mathias @geofreymat87205

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Kabisaaa ndugu pole pole naona akili Yako ssa inarudi kwenye leli tuombe tu usije kuwa unatafuta kitu😄😄

    0 0 2 369 0
  • PushatheTruth Profile Picture

    Pusha @PushatheTruth

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Na Hapo ndio Tanzania itaweza kuwa donor country. Tushindane kwa hoja, tudabate bungeni tukiheshimiana vyama vyote, tutengeneze policy bora zitakazofanya Tanzania prosperous. Huu uhuni ufike mwisho. I am sure watu zaidi ya million 50 tunaochukia wahuni..million men maandamano ✊🏾

    0 0 1 674 0
  • WKazinja84310 Profile Picture

    kajoka @WKazinja84310

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Hivi vyama viwili CCM na CDM bila wote kushiriki hakuna hoja za moto wala uchaguzi hauna radha

    0 0 1 335 0
  • kutishi Profile Picture

    Kutishi @kutishi

    3 weeks ago

    @Polepolehumph #NoReformsNoElection #FreeTunduLissuNow

    0 0 1 218 0
  • laurentgrandson Profile Picture

    Mzee Sila @laurentgrandson

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Hili ni zaidi ya 100% CC mnaihitaji Chadema ili mpige hatua zaidi.

    0 0 1 390 0
  • inashkhara Profile Picture

    z @inashkhara

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Rudi TZ uje upambane kuivunja CCM.

    0 0 0 12 0
  • PMacheyeki Profile Picture

    Mwl. Macheyeki Philbert Jr @PMacheyeki

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Wewe ndiye uliyeiua CDM enzi zako na Jiwe. Mlinunua, kuteka na kuua wapinzani. Nakuona kama umechanganyikiwa TU kwa sasa. Ni wewe na kundi lako ndio mlioasisi UCHAWA, Utekaji, Ushenzi na biashara ya siasa kwa kununua wapinzani. Huna maji ama dodoki la kusafisha ushenzi mlioufanya

    0 0 0 324 0
  • TanganyikaOne Profile Picture

    tanganyikaone🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇿🇦🇿🇦 @TanganyikaOne

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Samia ni fisadi wa kutupwa ndo maana hakuna sehem utasikia anakemia wizi,ufisadi na matumizi ya hovyo ya mali ya umma..shetani pepo mchafu

    0 0 0 45 0
  • Alexuma1876325 Profile Picture

    Stone face @Alexuma1876325

    3 weeks ago

    @PolepoleHumph misukosuko ya chadema imeanza wakati mtandao hawapo tena madarakani 2015

    0 0 0 59 0
  • AbdiooolH Profile Picture

    Abdioool Hassan @AbdiooolH

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Unaisemea CCM kama nani?Usitake kutukebehi CCM ni ileile toka ilipoasisiwa , cha muhimu ni mbadala

    0 0 0 474 0
  • MaureenC2025 Profile Picture

    Maureen C @MaureenC2025

    3 weeks ago

    @Polepolehumph AMEEEEENNNNNN Hatuna shida na @ccm_tanzania kama wangekua wa MAANA na wenye KHERI NA SISI ILA ndo wamekua na CHOYO na WALAGHAI tushawachoka ! #NoReformsNoElection #kataawahuni #SamiaSuluhuSIOchaguoLANGU #SamiaSuluhuRaisiWaOVYO @ChademaTZ2 ndio nguvu ya UMMA na TUMAINI!

    MaureenC2025 tweet picture
    MaureenC2025 tweet picture
    MaureenC2025 tweet picture
    keyboard_arrow_left Previous keyboard_arrow_right Next

    0 0 0 57 0
    Download Image
  • bhokestephen1 Profile Picture

    TATA MTANGANYIKA @bhokestephen1

    3 weeks ago

    @Polepolehumph @rose_mayemba 🙏

    0 0 0 92 0
  • LMadihani39710 Profile Picture

    madilu madilu @LMadihani39710

    3 weeks ago

    @Polepolehumph huyu pdd wa tz asituchoshe

    0 0 0 477 0
  • OrganicM3chanic Profile Picture

    HAMZA_ni_LEGEND @OrganicM3chanic

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Kwa haki mh balozi, mnmhh Alinacha kalala, kutoboa.

    0 0 0 511 0
  • samiatzs Profile Picture

    TANZANIA YA SAMIA @samiatzs

    3 weeks ago

    @Polepolehumph Katika Kuvunja CCM mtandao tuanze na wewe unayetengeneza Taswira ya kufanya Chama Cha Mapinduzi kionekane cha Hovyo wewe na wenzio wenye Uchu ambao mara zote mmekuwa hamtendi Haki hata Kwa wale wanaowazunguka

    0 0 0 172 0
  • Download Image
    • Privacy
    • Term and Conditions
    • About
    • Contact Us
    • TwStalker is not affiliated with X™. All Rights Reserved. 2024 www.instalker.org

    twitter web viewer x profile viewer bayigram.com instagram takipçi satın al instagram takipçi hilesi twitter takipçi satın al tiktok takipçi satın al tiktok beğeni satın al tiktok izlenme satın al beğeni satın al instagram beğeni satın al youtube abone satın al youtube izlenme satın al sosyalgram takipçi satın al instagram ücretsiz takipçi twitter takipçi satın al tiktok takipçi satın al tiktok beğeni satın al tiktok izlenme satın al beğeni satın al instagram beğeni satın al youtube abone satın al youtube izlenme satın al metin2 metin2 wiki metin2 ep metin2 dragon coins metin2 forum metin2 board popigram instagram takipçi satın al takipçi hilesi twitter takipçi satın al tiktok takipçi satın al tiktok beğeni satın al tiktok izlenme satın al beğeni satın al instagram beğeni satın al youtube abone satın al youtube izlenme satın al buyfans buy instagram followers buy instagram likes buy instagram views buy tiktok followers buy tiktok likes buy tiktok views buy twitter followers buy telegram members Buy Youtube Subscribers Buy Youtube Views Buy Youtube Likes forstalk postegro web postegro x profile viewer