Kwa trend ya ajira ninavyoiona Naona kabisa Nina hati hati za kuwa mchungaji Sasa ningependa kupata watu wafuatao Ili hapo mbeleni mambo yawe sawa 1. MUWEKA HAZINA 2. MZEE WA KANISA awe anajua kuushawishi umma KUTOA michango 3. WATU SABINI WATAKAOTOA USHUHUDA REPOST NIWAGET✅
0
0
3
152
0