Kumbukumbu Adhimu
Mwaka 2008, Benki yetu iliandika historia kwa kuzindua matawi yanayotembea 'Mobile Branch' kusogeza huduma mahali ambapo hakukuwa na matawi ya kawaida.
Leo hii, Benki ina matawi haya yanayotembea 12 ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya dhati ya kuwafikia…
“Kua uyaone ila sio maghorofa”
Samahani wahenga, 😂sie tunatafuta Washindi 5 tuwapeleke Ulaya wakashangae maghorofa na kula bata. Unaweza kuwa wewe 🫵kama unafanya miamala kwa TemboCard Visa yoyote! na kama huna akaunti ya CRDB unaweza kuomba TemboCard Prepaid kupitia link ya…
Umeboresha taarifa zako?
Ndugu Mteja,tafadhali fika tawi la CRDB na kitambulisho (NIDA/ Kura /Leseni/ Mkazi /Pasipoti) kuboresha taarifa za akaunti na kujisajili kwa alama za vidole.
#crdbbank#tunakusikiliza
Swahiba ashiriki uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje.
Benki ya CRDB imeshiriki katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mgeni rasm Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Hakunaga tarehe ngumu
Ni wewe tu hujajiunga na akaunti ya Mshahara ya CRDB inayokupa Salary Advance muda wowote
Pata Salary Advance hadi 50% ya mshahara wako
Faidi Mkopo wa haraka hadi shilingi Milioni 200
Tumia SimBanking na TemboCard
#crdbsalaryaccount#crdbbank…
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
Tupigie 0800 008 000 au karibu tawi la Benki ya CRDB leo
#crdbbank…
Jamani Amarah wa Paula na Marioo ameyapatia👶
Binti ana kesho bora na Junior Jumbo Account ya CRDB Bank. Hii ni akaunti spesho kwa mtoto wako. Tembelea tawi la Benki ya CRDB la karibu umfungulie mwanao kisha anza kumuwekea akiba.
#crdbjuniorjumboaccount#swahibanaweweumo…
Dunia yote tunayo!
Hamisha pesa kwa Internet Bank kwa safari mbalimbali kama vile dola, paundi, Euro na nyinginezo ukiwa popote duniani
Tembelea tawi lolote la benki ya CRDB kujiunga na huduma ya Internet Banking
#crdbbank#tunakusikiliza
Kombe la Shirikisho kumekucha!⚽️
Mfano wa hundi ya kitita cha shilingi Milioni 1 imekabidhiwa Man of the match kwenye #crdbbankfederationcup2025 Max Nzengeli katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliopigwa Mkwakwani Stadium, Tanga kati ya Yanga na JKT ambapo Yanga aliibuka…
Sogea @PizzaHutTZ na familia, kuna ofa
Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @PizzaHutTZ tukurudishie 10% ya bili yako.
Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu.
Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link:…
Saa sita mbali sana kaka!
Daka hadi milioni 1 kupitia Mkopo wa Jinasue wa SimBanking App utume CRDB kwenda CRDB tena BUUREEE!
Mkopo ni hadi shilingi milioni 1
Rudisha ndani siku 30
Fungua SimBanking > Mkopo > Jinasue
Pakua App ya SimBanking au piga *150*03#…
Amani ya Bwana iwe nawe ✝️
Ukiwa na SimBanking unaweza kutoa Sadaka kwa niaba ya mtu mwingine na ikafika kanisani ⛪️
Piga *150*03# Chagua 3 Sadaka, Chagua 2 toa Sadaka, Chagua 1 kwa niaba kisha endelea.
#benkinisimbanking#crdbbank#tunakusikiliza
Utamu wa Kwio 🍗wa KFC 10% ya mkwanja inarudishwa kwako na CRDB TemboCard💳
Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @kfctanzania tukurudishie 10% ya bili yako.
Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu.
Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid…
Kila kitu kipo kwenye SimBanking
Ukipokea mkwnja kwa SimBanking📲 utumie ndani ya SimBanking kwa kufanya bili zako zote humu tu ujiongezee nafasi ya kushinda GARI jipya aina ya Toyota IST kila baada ya miezi miwili au Toyota Harrier mwisho wa mwaka
Pakua SimBanking App kupitia…
Jumaa Mubarak!
Ukiwa na SimBanking ni shwari kabisa. Piga *150*03# au fungua SimBanking App kuanza sasa
Chagua 3 SADAKA
Chagua 2 Toa Sadaka
Chagua 1 Binafsi
Weka namba husika ya Nyumba ya Ibada kisha endelea
#benkinisimbanking#crdbbank#tunakusikiliza
Uwekezaji wako umefungua milango ya fursa jumuishi ukileta huduma za kifedha zinazoendana na mahitaji halisi na imani ya jamii yetu.
Tukielekea kwenye Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa tarehe 17 Mei 2025, utakaotanguliwa na Semina ya Wanahisa tarehe 16 Mei 2025 katika Kituo…
Hali ya hewa isikuletee kiwingu⛈️
Tunakusoti pale unapokumbwa na majanga ya hali yoyote ukikata Bima ya nyumba kwetu.
Bima kuanzia Tsh Elfu 59
Uharibifu wa Moto, Mafuriko, Radi, Tetemeko na mengineyo.
#swahibanaweweumo#crdbbank#tunakusikiliza
1.1M Followers 8K FollowingMbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
169K Followers 2K FollowingDigital Innovation Strategist | CEO @kinara_tech & @mtabeapp | I don’t want to comment on the direction of the wind, I want to make it blow
113K Followers 88K FollowingMark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
84K Followers 2K FollowingI teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)
207K Followers 41 FollowingThe Guardian Ltd
Home of Great Newspapers
Mikocheni Light Industrial Area
P.O. Box 31042
Dar es salaam
Tel:+255 745 700 710
[email protected]
43K Followers 3K FollowingFocused on business, finance & economy. We also dabble in politics occasionally as it affects the business environment. Contact us: [email protected]
168K Followers 5K FollowingI help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
34K Followers 2K FollowingDistrict Commissioner- LINDI, Lindi Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LindiKuchele
30K Followers 2K Following| WAUZAJI WA LAPTOP MPYA NA REFURB KWA BEI NAFUU | ☎️0788106694 | WhatsApp 👉https://t.co/EkxikTv5r9 | TUNAFANYA FREE DELIVERY🛵|
155 Followers 708 Followingingénieur en Génie Rural, Eaux et Forêts(GREF). J'interviens dans divers projets orientés vers l'agriculture, l'ACC, restauration du paysage, SES, etc...
2K Followers 8K FollowingFormer Reuters intern | @NairobiBusiness @NLM_Magazine | Shekel Coin merchant | Author of 'Time to Pivot' DM me to get a hard copy @ Sh1,500 bob.
92K Followers 590 FollowingThe official Twitter channel for Air Tanzania. Please tweet @airtanzania if you need any assistance in English or Swahili. Working hours are 8:00 am to 5:00 pm.
2K Followers 514 Following#KeenTechie, #SaaSLover, #FutureIsAI, Sell the solution and not the product, See the bright side, #Foodie, #ExplorerAndTraveller
18K Followers 1K FollowingVerint Messaging (formerly Conversocial), enables brands to deliver exceptional conversational experiences across social and messaging channels.
3K Followers 2 FollowingCRDB Bank Burundi S.A. est une banque commerciale agréée au Burundi qui fournit des services bancaires aux entreprises, ONG et particuliers
95K Followers 170 FollowingAuthoritative Newspaper|Government Newspaper|Part of Tanzania Standard (Newspapers) Limited | Bringing you detailed Tanzania news in English
3.8M Followers 892 FollowingThe official World Bank account. Our vision is to create a world free of poverty on a #LivablePlanet. Check: @BancoMundial, @Banquemondiale & @AlbankAldawli.
35K Followers 42 FollowingFounded by @moodewji, we work to improve the lives of Tanzanian citizens through health, education and community development.
155K Followers 66 FollowingSpeaker of the National Assembly of Tanzania 2022 - |Deputy Speaker of the National Assembly 2015-2022 |16th Deputy Attorney General of Tanzania |Lawyer
14K Followers 203 FollowingDar es Salaam Stock Exchange PLC (DSE) was established in 1996 as company limited by guarantee and was limited by shares in 2015-16,self-listed in 2016-17
6K Followers 455 FollowingUnofficial blog on the Dar-es-Salaam Stock exchange, previously producing daily updates and daily insights. Do not represent any government.