#Jasusi kamwambia dadake "umekuwa kama poshi kwini" kacheka huyo ☺️. Well, stori hii inapigia mstari kitu kimoja muhimu kwa afya: humour. Na Jasusi mahiri huwa always humourous. Humour si nzuri tu kiafya bali pia ni "people magnet." Huvuta watu.
#Smile #BeHappy