Mapema leo, tulipoanza kampeni zetu Mkoa wa Iringa ambapo nimezungumza na wananchi wa Kata ya Nyololo, Jimbo la Mufindi Kusini.
Huu ni mwendelezo wa ratiba yetu ya kukutana na kuzungumza na wananchi kuhusu kazi tulizofanya na ambazo tunakusudia kuzifanya, baada ya kupata ridhaa…
hii ni arrogance ya hali ya juu sana,yaani anasema serikali ya mama @SuluhuSamia haikumlipa pesa za vikao lakin yeye alikua anajilipia?
@ikulumawasliano mnaona watu mliokuwa nao kwenye bodi zenu
Ahsanteni sana Mbeya.
Mmekipa heshima chama chenu, Chama cha Mapinduzi (CCM). Kama tulivyojitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya kampeni, vivyo hivyo tujitokeze Oktoba 29, tuchague maendeleo, amani, umoja na utulivu wa nchi yetu, kwa kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha…
Baada ya kuhitimisha mikutano yangu na wananchi katika Mkoa wa Mbeya leo, niliwasili Njombe na kuzungumza na wananchi katika Uwanja wa Sabasaba. Ninawashukuru sana kwa kujitokeza kwa wingi kuzungumza nami na kwa upendo wenu usiyo kifani.
Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo…
Sehemu ya mazungumzo yangu na wananchi wa Mkoa wa Songwe ambapo leo tumeanza kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, kuomba ridhaa ya wananchi ya kuendelea kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.
VIDEO:
Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na kuheshimu matendo mema ya baadhi ya viongozi na wananchi wenzao.
Akizungumza…
Ninawapongeza wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani.
Ninawatakia kila la kheri katika maandalizi ya safari yenu ya kwenda kuomba ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura, kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba…
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025.
Mapema leo jijini Dodoma, nilipoongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.
Vikao hivi ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya chama kupata Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza…
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya maafa yaliyotokea katika Mgodi wa Nyandolwa, Kata ya Mwenge mkoani Shinyanga ambapo ndugu zetu 25 wanaofanya shughuli katika mgodi huo walifukiwa na kifusi.
Nimeielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu na vyombo vya ulinzi na usalama kupeleka…
Mapema leo Ikulu, Dar es Salaam nimepokea Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon). Hii ni heshima kubwa kwangu, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Tanzania kwa ujumla.
Tuzo hii ni matokeo ya kazi tunayoendelea…
Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi…
Ninawashukuru wanachama wenzangu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wote wa Dodoma kwa mapokezi makubwa katika ofisi za chama, baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakati utakapofika, tutakuja kwa wananchi kuzungumza nanyi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba, Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2025.
Heri ya Sikukuu ya Nanenane kwetu sote.
Leo tunapoadhimisha Sikukuu ya Nanenane, tuna kila sababu ya kujipongeza kwa hatua kubwa ambazo tumepiga kwenye sekta za kilimo, mifugo na uvuvi. Kwa upekee, mwaka huu tumeweka rekodi nyingine ambapo nimezindua Maabara Kuu ya Kilimo,…
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatoa pole kwa familia, wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi, watumishi wa Bunge na Wabunge wote aliotumikia nao akiwa Spika wa Bunge letu,…
ukiangalia kwa jicho la kinabii unaona move zote za Act wazalendo na Mpina zinafanya kazi kuifuta @ChademaTZ2 , pole pole wameanza kupotea kwenye ramani ,watanzania hawawazi tena kuhusu no reforms ,wanawaza act wazalendo na ccm ,ndio maisha yalivyo
4K Followers 3K Following👋 Transformational writer, e-commerce expert, and CEO of Dotfak Group LLC. Founder of the Abraham Oladotun Foundation. Let's connect and inspire each other!
51K Followers 5K FollowingSDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.
4K Followers 891 Following-June 2015 - Sept 2015 Volunteer at Raleigh International as an(ICS) -Alumni St. Augustine University of Tz (Journalism and Mass Media)|[email protected]
23K Followers 794 Following🧠Government Adviser | Open Minded | Business Ideas🏔️Please Book Your Tanzanian Tour & Safari With Me ✈️ VISA Assistant & Abroad Jobs Agent 🇺🇸🇨🇦🇪🇺🇦🇪
16K Followers 56 FollowingNdg, Humphrey PolePole | A concerned citizen on URT | Believe in people centred constitution.
Former Resigned, Ambassador Cuba.
#KataaWahuni
4K Followers 466 FollowingKaiza is a civil society focused advocate who rose from artisan fishing in western Lake Victoria community to a public policy researcher, analyst and thinker.
960K Followers 304 FollowingProtects America through criminal investigations and by enforcing immigration law to preserve national security and public safety. Privacy: https://t.co/yBK2rK2icz
2K Followers 19 FollowingICE's official Twitter page for information on job postings, recruiting events & more. Visit our website at https://t.co/Sgfu4KbGx7
251K Followers 41 Followinghttps://t.co/HMO0SRC3hR
|کیهان لندن با ۸۰ سال پیشینه تاریخی، چشم و گوش و زبان مردم است|
Publisher & Managing Editor: Nazenin Ansari |
Editor In Chief: Ellahe Bograt
150K Followers 1K FollowingAssis. prof. of Comparative Politics @TilburgU-Founder/Director of @GAMAANresearch-board mem.@IHRights-Iran expert-tweeting in Persian/English جمهوریخواه/سکولار
109K Followers 933 FollowingHuman Rights Lawyer, ex Head of Public Interest Law, Oxford University, Arbitrator, International Court of Arbitration. Opposing views welcome. Insults = BLOCK
336K Followers 71 FollowingThe party that actually represents America!
Community created and owned. No official affiliation.
News, updates, and commentary.
1K Followers 267 FollowingThe leading community expanding mental health & addiction care through tech and innovation for payers, providers, startups, investors, and policymakers #BHT2025
5K Followers 1K FollowingHRD is Canada's leading magazine written exclusively for senior human resource professionals and top decision-makers. Also follow @HRTechSummit for tech news.
22K Followers 992 FollowingCo-founder @legionhealth (backed by YC) building the last healthcare company | @princeton ‘18, @mckinsey | Building for 1000yrs of American flourishing 🇺🇸
547K Followers 659 FollowingCrypto .. 99% will lose all money invested. Check your own country laws before investing / trading. Tweets do not endorse buying Crypto or directed to UK users
349K Followers 28 FollowingStay Informed with the Latest in Crypto & NFT • #GemOriental • Speaking the Universal Language of Cryptocurrency • DM Let’s Connect, Innovate & Collaborate! 📩
5K Followers 65 FollowingEnhancing property development and real estate with the power of blockchain. 🔗 https://t.co/uGOI3lgNBP Founder & CEO : @itsckn
118K Followers 67 Followingصفحه توییتر رسمی ارتش دفاعی اسرائیل به فارسی - برای گفتگوی مستقیم بین ما و شما و پخش گزارش هایی از فعالیتهای ارتش اسرائیل. تلگرام ما https://t.co/d32YT8iIT8
14K Followers 2K FollowingThe premier Regional Bar with over 42000 members; Promoting Rule of Law, Justice, Cross-border Trade, Regional Integration and Legal Profession in East Africa.
1K Followers 6 FollowingChama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) advocating for democracy, the rule of law, accountability, and respect for human rights for the advancement of Tanzania.
28K Followers 55 FollowingOfficial Account | The Founder and ArchBishop of GCTC (Ufufuo na Uzima Ministries) | Member of the National Executive Committee for CCM
No recent Favorites. New Favorites will appear here.