Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ametangaza kuwa serikali imefuta kodi ya VAT kwenye matangazo ya magazeti ya ndani. TEF yapongeza: “Kodi hii ilikuwa chanzo cha kifo cha magazeti… Tunadaiwa VAT hata kabla ya kupokea malipo.” #Bajeti2025
0
0
1
60
0
Download Image