Taa nyekundu kwa Mpina? Hawa jamaa wakitaka kichwa cha mtu huanza mdogomdogo!
@Mugaka_N Ukishazoea nyama ya binadamu hauwezi kuacha! Sasa wameanza kutafunana wao kwa wao. #Nonsense