Historia Yetu @HistoriaYetu
Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected] historiayetu.com Tanzania Joined August 2021-
Tweets1K
-
Followers34K
-
Following0
-
Likes226
📍Lindi, 1910 Vijana wakiuza ndege waliohifadhiwa kwenye vibanda vya miti. Picha hii inasema nini? Binafsi naona ubunifu na ujuzi, hasa kwenye fani ya uhandisi wa mejengo, pia naona waliosema tusingeendelea bila ukoloni, kuwa hawakufanya tafiti za kutosha, nasi tulikuwa na…
📍Mwanza 📸Picha 1: Ujerumani ya Afrika Mashariki, Mwanza, makazi pembezoni mwa Ziwa Victoria 1907. 📸Picha 2: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwanza, makazi pembezoni mwa Ziwa Victoria 2024. #MaendeleoniHatua
#KUMBUKIZI ▪️JE Wajua Kuhusu Mwl. Julius Nyerere ,Mzee Aikael Mbowe na Makongoro Nyerere ? Pichani ni Baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere akisalimiana na Mzee Aikael Alfayo Mbowe. Mzee huyu alikuwa ni tajiri mkubwa wa Kilimanjaro aliyetoa mchango wa kipekee kwa TANU ikiwemo…
📍Peking, China - Feb 20, 1965 Rais wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Mwenyeki wa Chama cha Kikomunist cha China Liu Shao-chi wakitia saini hati ya makubaliano ya Urafiki kati ya Tanzania na China. Leo Jiijini Dar es Salaam, ubalozi wa @ChineseEmbTZ kwa…
Prof. Mwaikambo Ester Mwaikambo, 1969 aliporejea kutoka Urusi masomoni, alikuwa mwanamke wa kwanza Daktari (Medical Doctor) nchini Tanzania. 1977, Prof. Mwaikambo alikuwa Daktari wa kwanza wa watoto mwanamke Tanzania (paediatrician). 1987, alianzisha cha Madaktari Wanawake…
Tanganyika, Ujiji Kigoma 1930 Mahakamani Kigoma Ujiji. Kwa makosa madogo ya kinidhami au ya kijamii, utawala wa Mwingereza Tanganyika baada ya vita ya kwanza dunia, uliyaacha chini ya Mahakama kama hizi. Kwa yale makubwa ya jinai, yalishughulikiwa na Mahakama kubwa [British…
June 19, 1978, Dar es Salaam Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Edward Sekoine akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Ukombozi wa Bara la Afrika (OAU Liberation Committee) ambayo ilikuwa na makao makuu yake jijini Dar es Salaam. Hapa Mh. Sokoine aliipongeza kamati hiyo…
Rufiji, 1968 Serikali ya Tanzania iliwatangazia watu waishio katika Bonde la Mto Rufiji, kuhama kwa muda kutokana na mafuriko makubwa ya mto huo. Takribani watu 51,000 wanaishi katika vijiji takribani 90 wajulikanao kama Warufiji waliishi katika eneo hilo. Mwaka huu, serikali…
Rufiji, 1970 Mwaka 1970, zaidi ya watu 50,000 walihamishwa na serikali baada ya mafuriko ya Mto Rufiji kutokana na mvua kubwa. Mto Rufiji kila katika msimu wa mvua kubwa, hufurika na kuathiri makazi watu, mashamba, barabara na muda mwingine, husababisha vifo vya watu.…
Sheikh Abeid Karume (1905 - 1972) Rais wa kwanza wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa kwanza wa Tanzania. 📸1965. (Photo by Dalmas/Pix/Michael Ochs Archives/Getty Images) #KaurmeDay
KALULU FALLS, CONGO Kalulu alizaliwa mwaka 1865 Tabora, Tanzania. Alifariki mwaka 1877 kwa ajali ya mtumbwi mto Congo. Kalulu alikuwa akiitwa Ndugu M'hali na jina la nyongrza ni Kalulu na alilipenda. Hakupenda kubadilishwa jina tena isipokuwa Kalulu. Kalulu alikuwa rafiki wa…
Je, @YoungAfricansSC italipiza Kisasi kwa Madiba dhidi ya @Masandawana? 2001 Yanga ilitolewa hatua ya raundi ya pili ya michuano ya @CAFCLCC pale kwenye Dimba la CCM Kirumba Mwanza. Agg ilikuwa 6-5 ambapo Mamelodi alipita kwa tofauti ya goli moja. Ilikuwaje? Mchezo wa kwanza…
📍Dar es Salaam, March, 1961 “Release Jomo Kenyatta”, mabango yakisomeka hivyo. watoto wa Kitanganyika wakiishinikiza serikali ya mkoloni (Uingereza) nchini Kenya wamwachie huru Baba wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta aliyoko korokoroni tangu 1952. Agost 21, 1961 J.K aliachiwa huru.
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberRichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteFortunatus Buyobe @fbuyobe
93K Followers 829 Following Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWOThabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderJames Munisi @NjiwaFLow
169K Followers 28K Following Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwaMdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 390 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamTanzania Bound Buses @TBoundBuses
50K Followers 2K Following Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini. Powered by Bus Community (WANAZI)Benjamin Fernandes �.. @Benji_Fernandes
75K Followers 3K Following Believer✝️ | Building @NALAmoney | Let’s #BuildOurAfrica 💪🏾 | Y-Combinator W19 | Stanford MBA | Harvard Govt. | Romans 12:2Cypyyy @CyprianKalole
20K Followers 2K FollowingUDADISI @Udadisi
110K Followers 43K Following @ChambiChachage https://t.co/BZqAR0JVah https://t.co/qQZcPRprHP https://t.co/cQXpCqm7Er https://t.co/gcXPvKMZhp https://t.co/uPw1wmI9A8Wilfred Mwasuka @MwasukaWil55522
4 Followers 35 FollowingPatrick Masawe @patrick_masawe
5 Followers 115 FollowingRashidi Iddi @RashidiIdd36182
0 Followers 57 FollowingAtanasio Kessy @AtanasioKessy
2 Followers 12 FollowingBrian Senyael @kikorooter
2 Followers 16 FollowingChacha Nyamase @chachazedream
30 Followers 777 FollowingAthumani Selemani @AthumaniS1592
14 Followers 111 Followingmwananchi wa kawaida @mawazoHurutz
2K Followers 5K Following Mungu alikuumba kwa sura na mfano wake | Tupendane | Yanga🟢 |Haji Mussa @HajiMus82365085
0 Followers 6 FollowingKurwa Sabuni @KurwaSabuni
3 Followers 20 FollowingGodfrey Makaranga @makarangaz
8 Followers 124 Following Author: CHAMPIONI newspaper|| Book worm || Contents creator|| Graphics designer||David @David5625533819
2 Followers 59 FollowingAbdul Kareem @AbdulKa69033432
0 Followers 22 FollowingMuhidini Hassan @Muhidinihasaan
4 Followers 90 FollowingSunpeter26 @SundayP60154205
0 Followers 77 FollowingRichard Jackson @Richard28987497
0 Followers 19 FollowingMussa Ngela @NgelaMussa34626
1 Followers 141 FollowingRidhiwani Mgaya @mgaya_ridh88621
33 Followers 843 FollowingThomas Mlomo @TMlomo25790
1 Followers 40 Following𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢�.. @_Maxmilianjohn
9K Followers 2K Following GOD1st || @Chelseafc fan || King of banter || Curious || Leaner || Grind all day || Kama tweets zangu zinakukera unfollow tu maana naongea ukweli || Dm .Katibu @katibumwenezi
23 Followers 342 FollowingNISRI CHUMA @ChumaNisri81303
5 Followers 14 FollowingPowermabula @mabulapet
1 Followers 15 Followingalphonce merkiory @AMerkiory
1 Followers 72 FollowingJaphee Mgomba @MgombaJaphee
18 Followers 98 Followingعبدالسيبر @abdulcyber01
8 Followers 66 Following Computer system security Graphics designing Network confingureVolka Mwangolo @VMwangolo47389
14 Followers 61 FollowingKhatibu Sufiani @sufiani_kh18301
24 Followers 164 FollowingAbuu Majari @AbuuMajari64125
0 Followers 104 FollowingAdrus George @a_adrus
1 Followers 42 FollowingAlfredy Msonda @AlfredyMso99927
8 Followers 187 Followingchief mnyamwezi @RashidKalu4728
0 Followers 121 FollowingKing G jr @King_G_jr
1 Followers 48 FollowingAllen Noah @AllenNoah429597
3 Followers 89 FollowingSamson Dulam @SamsonDula3313
19 Followers 131 FollowingP&2p @katemi80951
5 Followers 126 FollowingMohammed Mmari @MohammedMm4739
20 Followers 385 FollowingJOFREY MCHELE @JofreyMchele
11 Followers 102 FollowingELIUD MALISELO @EliudMalis88071
2 Followers 39 Following@Zorrila2 @HistoriaYetu @ChineseEmbTZ Naomba uipost hii Mkuu @HistoriaYetu
@HistoriaYetu Hii stori ya uongo. Malkia Elizabert kazaliwa mwaka 1926 mpaka mwaka 1956 alikuwa na umri wa miaka 30. Je kwa huo umri anaweza kuwa na mtoto mkubwa kama huyo tena wa pili ? Hapa naisi kuna kitu Akiko sawa , au akufuata uzazi wa mpango
@HistoriaYetu Beautiful picture 🖼️ Kumbukumbu ni Lazima zitunzwe 👏
Hahahaha, asingeolewa na Mnyakyusa angeishia kuandikwa habari. Ushauri wa Mnyakyusa ulimpaisha Mchaga! Wanyakyusa tunatisha kwa ushauri chanya. Ukipewa nafasi ya kuchagua kati ya Mnyakyusa na wengine usipepese hahaha @ historiayetu
Prof. Mwaikambo Ester Mwaikambo, 1969 aliporejea kutoka Urusi masomoni, alikuwa mwanamke wa kwanza Daktari (Medical Doctor) nchini Tanzania. 1977, Prof. Mwaikambo alikuwa Daktari wa kwanza wa watoto mwanamke Tanzania (paediatrician). 1987, alianzisha cha Madaktari Wanawake…
@HistoriaYetu Hapa ujanja kwa sisi Wanyakyusa ni kuoa wachaga tu baas
@HistoriaYetu Sasa unaona Wanyakyusa wanavyojua kumulika vipaji maalum
Someone needs to study how one district in Northern #Tanzania produced arguably two of the best prime ministers in Tz history #Monduli
June 19, 1978, Dar es Salaam Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Edward Sekoine akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Ukombozi wa Bara la Afrika (OAU Liberation Committee) ambayo ilikuwa na makao makuu yake jijini Dar es Salaam. Hapa Mh. Sokoine aliipongeza kamati hiyo…
Wanyakyusa tuna akili sana.
Prof. Mwaikambo Ester Mwaikambo, 1969 aliporejea kutoka Urusi masomoni, alikuwa mwanamke wa kwanza Daktari (Medical Doctor) nchini Tanzania. 1977, Prof. Mwaikambo alikuwa Daktari wa kwanza wa watoto mwanamke Tanzania (paediatrician). 1987, alianzisha cha Madaktari Wanawake…
@HistoriaYetu Umewakosea wanyakyusa Hivi kwanini usingeacha Tu tujue Esther mwaikambo ? Shida yako nini ? 😆😆😆
Hii picha ina dhihirisha tofauti ya mamlaka na nguvu. Rais Mwinyi kakaa pembeni wakati mstaafu Nyerere kakaa kiti kikuu (centre sit).
Kikao kizito sana hiki. Kuna 20,000 kwa mtu wa kwanza atakayepatia kuwataja viongozi hawa wote kwa usahihi. Source🖼️: @DrSalimArchive
@YOUNGIBIS @HistoriaYetu @DrSalimArchive Mzee Rashid Mfaume Kawawa Mzee Idris Abdulwakil Nombe Mzee Ali Hassan Mwinyi Mzee Mwl Julius K Nyerere Mzee Salim Ahmed Salim Mzee Joseph Sinde Warioba Mzee Omar Ali Juma Hapo je??
@HistoriaYetu Utaratibu WA hizo mahakama ungeendelezwa baada ya uhuru
Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, Leo anatimiza miaka 52, tangu alipopatwa na umauti baada ya kupigwa risasi. Sheikh Karume alipigwa risasi April 7, mwaka 1972 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM eneo la Kisiwandui visiwani Zanzibar.
Commemorations in #OldMoshi to honour Chagga, Meru and Arusha leaders. On 2/3/1900 they were hanged by German colonial officers. Their remains were taken to Germany for racist research. The descendants are still waiting to bury them in their homeland. #MangiMeliRemains
📚𝙺𝚠𝚊 𝚞𝚗𝚍𝚊𝚗𝚒 𝚠𝚊 𝙷𝚒𝚜𝚝𝚘𝚛𝚒𝚊 𝚢𝚊 𝙷𝚒𝚖𝚊𝚢𝚊 𝚢𝚊 𝙺𝚊𝚛𝚊𝚐𝚠𝚎 𝚓𝚒𝚙𝚊𝚝𝚒𝚎 𝚗𝚊𝚔𝚊𝚕𝚊 𝚢𝚊 𝙺𝚒𝚝𝚊𝚋𝚞 𝚌𝚑𝚊 𝙺𝚊𝚛𝚊𝚐𝚠𝚎; 𝙷𝚒𝚜𝚝𝚘𝚛𝚒𝚊, 𝙼𝚒𝚕𝚊 𝚗𝚊 𝙳𝚎𝚜𝚝𝚞𝚛𝚒. 𝙿𝚒𝚐𝚊 ☎️ 𝟶𝟽𝟻𝟺 𝟶𝟹𝟶 𝟸𝟺𝟸 𝙰𝚞 𝙵𝚒𝚔𝚊; 📍𝙺𝚊𝚛𝚊𝚐𝚠𝚎 𝚗𝚊…
Kagera, Karagwe Kingdom Ngome iliyopatikana Kaskazini Magharibi mwa Tanzania kati ya 1450 - 1963. Pichani ni [King] wa mwisho wa ngome ya Karagwe, aliyetawala kati ya mwaka 1939 - 1963, Omukama Ruhinda VII. Aliyezaliwa 1908 na kufariki 1983. Ngome hii ilitawalia wa watawala 16…
Sometimes I wonder what it would be like if ningezaliwa 1885s+ kwenye colonial era. Watu wetu walipitia tabu sana and that's why hatutakiwi kusahau wala kusamehe. Ilitakiwa nyimbo zao za Taifa ziwekee mstari wa kuomba mtu mweusi msamaha. Kila wakiimba wakumbuke na vizazi vyao
Kilimanjaro, Siha/Kibong'oto Picha pekee ya Chief [Mangi] Ngalami (Aliyesimama kushoto). Ngome ya utawala wa Siha ilikuwapo magharibi mwa Mlima Kilimanjaro mnamo Karne ya 17. Mangi Ngalami alinyongwa na Wajerumani 1900 na Baraza lake zima la watu 18. Viongozi wengine wa Siha…
Leo katika historia, Tanzania ni Baba wa uhuru wa nchi nyingi... "Tanawakumbuka wapiganaji wote waliokufa katika mapambano🎶🎵🎼" @HistoriaYetu