Coding sio ngumu wala sio nyepesi, inategemeana na nimara ngapi unafanya hiyo coding, kila Project huwa ina changamoto yake, ikimaanisha jinsi unavyofanya project nyingi, ndivyo unavyokuwa mzuri zaidi, matatizo mengine hutatuliwa kwa kurudia rudia kukifanya kitu. #DmQuestion
1
2
7
246
0