Mbogi, mnafeel aje? 🤩🔥Hii event ya Chrome City ni kama ni free! Ukitupa Ksh 500, unapata drink, food na maji alafu sherehe iko KICC kutoka 3PM till late. Hii ni maajabu. @linus8e na @LinusTrevez, msijifanye hamjaona, ticket ni redeemable so hakuna hasara #chromecity
0
1
1
33
0
Download Image