@MarangaVin10651 Nataka niulize, kama hii shida ni ya wakikuyu peke yake, na ndio walitoka muranga, nyeri, kiambu kuandamana, bona watoto wa other communities wanauliwa kwa maandamano? How do you explain this demographic on this paper? Kiulizo tu juu hii mimi sijaelewa.
@MarangaVin10651 The coup will not work. Mmedaharau our son,we will stand with him. Don't push us further than this