#Tanzania Video reportedly from Rufiji 🥲 This is ECOCIDE committed by the CCM govt! The Nyerere Dam has flooded this area in the South -thousands are stranded! Wataalm walimshauri miaka ya 70 Nyerere akasikiliza! Magufuli wenu ndo akaja akakata miti milioni 3 na kulazimisha - sasa mnaua na kuumiza maelfu! CCM mkapumzike tu! Mliobaki huko hamna hekima wala huruma! #TutaelewanaTu
@MariaSTsehai Huu mradi una Manufaa Makubwa sana kwa Taifa, hao watu wanaweza kuwa RELOCATED kama hakutokuwa na namna nyingine ya kutatua tatizo hilo. Faida ya wao kuishi hapo kwa Taifa si sawa na Faida ya Huo Mradi kujengwa hapo kwa Taifa Tunaweza kukata hata Miti 10m kama Taifa linanufaika
@MariaSTsehai Mungu wangu! Halafu mkwewe Mchengerwa kendo kuwapooza kwa tumilioni 40. Milioni 40 kwa tatizo kubwa namna hii! Kweli CCM hawajali uhai wa watu.
@MariaSTsehai Research iliyofanyika miaka 50 iliyopita ikafanyiwa kazi leo hii bila utafiti mwingine? How come 🙄
@MariaSTsehai Kwa historia ya mto Rufiji, Mafuriko, Mamba na Viboko kudhuru watu vimekuwepo kabla ya JNHP. Nia ya mradi ni njema taifa lipate UMEME wa kutosha na nafuu. Changamoto hizi, Kwa Teknolojia ya 2024 hili tatizo linatatulika, Ushauri wa wataalamu miaka ya 70 usitufunge,
@MariaSTsehai MAADAM Maria Wewe ni Mwongo na Huenda ni Mchonganishi au Wewe ni MKWELI SANA! Hii ni taarifa ya DC Rufiji 10 day Ago youtu.be/1LbI3RNygA0?si…