Alex Haule @RealSimpleX
Joined December 2010-
Tweets252
-
Followers741
-
Following931
-
Likes93
Maandalizi ya kurudi MJENGONI💣💣💣🔥 #mikumistandup @tharealsimplex
"Watu timamu na wanaoongozwa na 'nia njema' wanatarajiwa kuafikiana mara nyingi, kukubaliana mara chache na kutokukubaliana ikibidi." ~Togolani Mavura.
"Tunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."
"Unapoaminiwa na kupewa jukumu ni fursa ya wewe pia kujiamini. Wanaokuaminia wamekiona ndani yako kile ambacho pengine wewe hujakiona". ~Togolani Mavura.
"Ni heri utingwe na majukumu kuliko usiwe nayo. Majukumu hutuepusha na shari na mitihani mingi ya maisha na hutufungulia riziki. Usipotingwa nayo, utakuwa na muda mwingi wa kuhangaika na maisha ya wengine. Itakugharimu. Shukuru Mungu unayo". ~Togolani Mavura.
Nimefanya mazungumzo kwa mara ya pili na Bw. Glory Seo, Afisa Mtendaji Mkuu na Mmiliki wa Kampuni ya Otto Total Food Solution ya Korea Kusini (yhotto.co.kr). Kampuni hii huagiza mazao kutoka nchi 55 duniani. Ameshawishia kujaribu kununua kutoka Tanzania.
"Pamoja na nia njema, kuwa makini sana na ahadi unazozitoa ukiwa na furaha sana, simanzi sana au hisia sana. Mara nyingi, ahadi za aina hii ni ngumu kuzitekeleza mara baada ya mazingira hayo kupita. Ahadi isiyotekelezwa hugeuka mzigo wa lawama." ~Togolani Mavura.
🔴TANZIA: Ofisi Binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete inasikitika kuwatangazia kifo cha Katibu wa Rais Mstaafu, Ndugu Adam Issara kilichotokea leo jioni jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu @jmkikwete kwa kuondokewa na nguzo yake muhimu na msaada mkubwa katika majukumu yake. Natoa pole kwa mke, watoto familia, ndugu, jamaa/, marafiki na wote walioguswa kwa namna moja au ingine na maisha ya Adam.
Mimi ni mwingi wa maneno ya kufariji lakini leo nimefilisika. Sina maneno ya kuelezea uchungu na maumivu yangu kwa kuondoka kwako @AdamIssara. Hadi hapo nitakapokuwa na maneno ya kutosheleza, naazima haya medium.com/@togolani/siki… na nakutakia kila la kheri na upumzike kwa amani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 24 Julai, 2020.
.@Samagoal77_ is set to make Tanzania the 117th different country to be represented in the #PL. 🇹🇿 Go well, Ally! 👊 #BOUAVL #AVFC
Thank you, Tanzania. 👊 Amazing support for @Samagoal77_ as he made his Villa debut last night! 🇹🇿 #AVFC
Nimestushwa na taarifa za kifo cha msanii wa kizazi kipya GodZila. Alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto kubwa na ameondoka wakati ambapo bado mchango wake ulihitajika. Nawapa pole familia ya Marehemu na wasanii wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema.
Kumbukumbu kubwa uliyoniachia kichwani mwangu ni kutumia sauti yangu kama Signature ya kazi zako 🎶PANCHO LATINOOO🎶 Pumzika kwa Amani Mdogo Wangu 🙏🏿🙏🏿
Happy birthday To my Young Brother Alex Haule A.k.a @tharealsimplex a.k.a Xtra Vaganza A.k.a Mzee wa Ngano, Nakuombea kila lililo Jema🙏🙏

Uglumi @Uglumi01634
24 Followers 969 Following
Modesto Thompson @ModestoTho11650
100 Followers 4K Following
ElsieJonah @qLMTL12c83Dt9R
6 Followers 316 Following
Daisha Streich @DaishaStre97252
56 Followers 2K Following
Esta Muller @EstaMuller21144
84 Followers 4K Following
Hilton Bergstrom @BergstromH34845
74 Followers 3K Following
Alena Beier @AlenaBeier18598
89 Followers 2K Following
Tortoughth @TortoughthyCxk
3 Followers 359 Following
Parneet Oberoi @oberoi1621
3 Followers 28 Following
Said Omar @SaidOma56984659
3 Followers 161 Following
ulomi madini @evansijofrey
292 Followers 1K Following industrial Gemstone/Geologist/Rock master/activists/become a postor -co founder https://t.co/HG6lThNXlv
aboosheer @aboosheer
15 Followers 163 Following “If you can not see good in people , then you start to create and be good one ”
Lawelu Daniel @LaweluD
3 Followers 137 Following
Capital A Mada B @KapitalA_MadaB
162 Followers 273 Following
Michelle @Michell39482899
1K Followers 5K Following
Anwary @Anwary30747059
188 Followers 3K Following
Keshi Money @KeshiMoney
5 Followers 11 Following Coming Soon! 🎵| Vibe kama lote 🍻| Vinywaji kama vyote 🍖| Choma kama zote 📍| PR Complex, Sinza Palestina
Imma Imara @ImmaImara
2 Followers 29 Following
Chakazaa 1 @Chakazaa1
707 Followers 5K Following
hamisi ibrahim @hamisiibrahim44
2 Followers 162 Following
Kevin ever @Kevinkevinever
41 Followers 766 Following
HyeraOD @Kapotangi
369 Followers 4K Following Electritian and Fans of @YoungAfricansSC and @chelseaFC @realmadrid
GOODPLANET @godwin_gudluck
56 Followers 533 Following CEO & MD of GOODPLANET HATE ME NOW 🎤 Brand ambassoder of 🌏
Mwalimu Hakika @HakikaJonathan
683 Followers 4K Following TeaCher🇹🇿 Author📚 Novelist📖 Businessman 💪 Entrepreneur💰 King of following back🇹🇿
Abdilah Haji @abdilah_haji
5 Followers 142 Following
Pascal Gilla @GillaPascal
20 Followers 158 Following
Rama Kiswili @KiswiliRama
17 Followers 234 Following
amanie illfated @AmanieIllfated
79K Followers 75K Following AfroPop/R&B Artist 🇸🇸 | 🇨🇦 Mango Enthusiast 🥭😘 📧: [email protected]
GARNITE COMPANY LIMIT... @GarniteL
27 Followers 240 Following We deal With Import and👉🚙car sell 📂Car accessories 👉Exportation of agro products Technological solutions 👉Home appliances
mkumbe rashid van nan... @rashid_mkumbe
39 Followers 747 Following electrician, sports fan; ~real madrid cf ~chelsea fc ~simba sc
George Malekela @MalekelaGeorge
56 Followers 130 Following
Philbert Mkuto @philbertmkuto
1K Followers 5K Following Mwalimu/Baba/Kaka/Mjomba/Mkulima mdogo mdogo.
Msham Mchamboti @wa_tanzania
74 Followers 434 Following
France vs Azerbaijan ... @thatswhysports
19K Followers 7 Following France vs Azerbaijan Live Stream, HD TV coverage match online from here. Watch France vs Azerbaijan live streaming on your Mobile, PC or TV.
Jaguars vs Chiefs Liv... @xtrastrms
6K Followers 4 Following
John Heche @HecheJohn
791K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Salim Alkhasas @salim_alkhasas
222K Followers 2K Following najua, Nakera, Sina akili, ipo siku na mimi yatanikuta… Papaa mchoyo, kipande cha waya…Mnafiki pro max..
Ashley Young @youngy18
2.6M Followers 224 Following @IpswichTown footballer. Instagram: https://t.co/sItC5KNFrv
Mkanji Kondele (Advoc... @AdvocateKondele
10K Followers 206 Following Wakili| Corporate Attorney| Compliance Specialist | Conveyancer | Tax & Investment advisor|Litigator| Labour & ICT law Specialist| Probate & Human Rights
Lawrence Nyasebwa Maf... @LNMafuru
14K Followers 890 Following Executive Secretary | President’s Office Planning Commission| Tanzania
Rising Stars XI @RisingStarXI
110K Followers 2K Following 📸 IG: risingstarxi | Ads and Partnerships ⬇️ [email protected]
MalisaGJ @MalisaGJ_
43K Followers 109 Following Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard Fan
Peter Kibatala @PKibatala
26K Followers 24 Following
BOBI WINE @HEBobiwine
2.7M Followers 174 Following Father, Husband, Artiste, Lawyer, Activist, Leader.
Martin Maranja Masese @IAMartin_
600K Followers 1K Following MMM | Public Spirited | Sperm That Won The Race | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
573K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM CHADEMA CC MEMBER
ChefChi👩🍳 @thecheffchi
480K Followers 6 Following BACKUP @chefchiadeleke | Renowned Chef | Wife to Davido & Mummy Twins | COMMENTARY | PARODY ACCOUNT | 👩🍳 #CHIVIDO #CHIVIDO2025 #Thechefchi #chefchi #Davido
Thlologelo @NgwanaMopedi1
36K Followers 2K Following Ke kgoshigadi Ya Bapedi | Great North is the land of my forefathers 🥺 | Bohlabatsatsi go dutsi molwedi | Limpopo ke county 🙌
Ujuguhapa @Ujuguhapa
60K Followers 17 Following C.E.O : UJUGU ARENA { sina RAFIKI wa KUDUMU sina ADUI wa KUDUMU }
Talk2Peter🎀 @PostbyPeter
40K Followers 20K Following Your academic writing expert, God's Image, Created for a purpose
Kamala Harris @KamalaHarris
20.8M Followers 702 Following Always fighting for the people. Wife, Momala, Auntie. She/her. 107 Days available now.
Dr. Tulia Ackson @TuliaAckson
155K Followers 66 Following Speaker of the National Assembly of Tanzania 2022 - |Deputy Speaker of the National Assembly 2015-2022 |16th Deputy Attorney General of Tanzania |Lawyer
Kassim Majaliwa Majal... @KassimMajaliwa_
101K Followers 3 Following Official account of the Prime Minister of the United Republic of Tanzania. Member of Parliament Ruangwa Constituency-Lindi
TRA Tanzania @TRATanzania
113K Followers 114 Following Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kwa msaada, Piga simu bure namba; 0800-780078 au 0800110016 WhatsApp 0744-233 333. Barua pepe: [email protected]
KigogoForum @kigogoforum_
78K Followers 0 Following A free platform for the voiceless to be heard and speak to those in power loudly and fearlessly I Email us 24/7 to [email protected]
sunday mwinga @sunday_mwinga
48 Followers 345 Following
Mzungu Kichaa @MzunguKichaa
13K Followers 3K Following artist - bongo flava / afrobeats - located in Denmark & Tanzania
Michelle @Michell39482899
1K Followers 5K Following
Rishi Sunak @RishiSunak
2.3M Followers 328 Following MP for Richmond and Northallerton. Former Prime Minister of the United Kingdom 🇬🇧 Promoted by Sam Gibbs at Omega Business Village, Northallerton DL6 2NJ.
C L E M E N T 🦁�... @venant_clement
19K Followers 6K Following Maisha huwatunuku fungu jema wale wenye kujifunza, kuelewa na kufaulu mtihani wa rizki, subra na wakati.
Mange Kimambi @mangekimambi
322K Followers 86 Following Tuletee habari Tutakulipa. Download Mange Kimambi app on playstore and app store. Webapp: https://t.co/WG9DckLPAD WhatsApp & telegram:+1 424 537 3057
Jamii Forums @JamiiForums
1.9M Followers 208 Following Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Muhoozi Kainerugaba @mkainerugaba
1.2M Followers 1K Following Official Twitter account of Gen.Muhoozi Kainerugaba, Chief of Defence Forces (UPDF) and SPA/SO.
Tanzania Embassy I Ko... @UbaloziKorea
11K Followers 323 Following The official account of The Embassy of Tanzania to The Republic of Korea.
University of Dar es ... @udsm_alumni
9K Followers 20 Following Official twitter for the University of Dar es Salaam Alumni. Connect today! https://t.co/pT9oOjpfBv
Erling Haaland @ErlingHaaland
6.8M Followers 10 Following Every morning you have two choices: Continue to sleep with your dreams or wake up and chase them 💪🏻 / @mancity 🇳🇴 @nff_landslag ⚽️ @nikefootball
Ambassador Liberata M... @Amb_Mulamula
5K Followers 86 Following Official Account of Ambassador Mulamula (MP) Former Minister of Foreign Affairs | Tanzania 🇹🇿 | Wife | Mother | Grandmother to Maya
Liz Truss @trussliz
704K Followers 2K Following Sunday Times bestselling writer. Former Prime Minister of the United Kingdom https://t.co/hI4TsvHwGZ
Issa Shivji @IssaShivji
178K Followers 66 Following Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumi
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
917K Followers 8K Following what is happening? God is good always @SimbaSCTanzania @ManUtd #Tumshauri
Fred Fabian Ngajiro. @fred_vunjabei
31K Followers 142 Following 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐃𝐄𝐍𝐓: 𝐓𝐨𝐨 𝐦𝐮𝐜𝐡 𝐦𝐨𝐧𝐞𝐲, 𝐂𝐄𝐎:𝐕𝐮𝐧𝐣𝐚𝐛𝐞𝐢 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩.
National Defence Coll... @Ndc_tz
13K Followers 37 Following An inter-service prestigious Government institution for training Senior Military Officers and Civilian Public Officials on Security and Strategy.
MR BEN @Eric__Bernard
454K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
SikilizaTogolani @SikilizaTogolan
66K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!
deo matata @deomatata
599 Followers 772 Following Advocate of the High Court of Tanzania Member of the Bar Association of Tanzania Mainland (Tanganyika Law Society) Co-founder SAUZWEST BROTHERS