Shekh Ponda Issa Ponda @SheikhPonda
Joined August 2021-
Tweets173
-
Followers19K
-
Following234
-
Likes12
MASHEIKH 7 WAMEHUKUMIWA LEO DAR. Saidi Bakari kahukumiwa kunyongwa. Abubakar Paulo-kunyongwa. Othman Khamis-miaka 20. Ahmed Musa-miaka 20. Musa Hasan- ameshinda. Hussein Ali - kashinda. Bakari Juma-kashinda. Wamekaa gerezani (2015-2024) miaka 9. Utawala wetu Dhulma juu ya dhulma.
KELELE ZA KUTEKWA RAIA TANZANIA ZINAONGEZEKA. Leo mke wa Abdallah Muna amesema: Mume wangu tarehe 31.1.24, (aliripoti Polisi Arusha)”. “Baada ya kutoka kuna watu walimfuatilia”. “Toka siku hiyo (ametekwa), hajapatikana tena”. KAMA WANAOTEKWA NI WAHALIFU WAPELEKWE MAHAKAMANI.
MAUWAJI ya kiholele yanakomaa nchini kwetu. Ni yale ya kutekwa na kupotezwa au kupatikana Maiti kwa utata. Watekaji huwa na Magari, Redio, Silaha pia hujitambulisha ni Usalama. Kwa hali hiyo Raia wanapo tuhumu, wazingatiwe badala ya kutishwa. Uhai ni kitu kibwa si cha kuchezewa.
SALAMU: 1. Muungano haukupata ridhaa ya Wananchi. Si sawa kutoa kafara mataifa yetu kwa sababu ya Muungano wa Viongozi 2. Inasemwa Kero zimekwisha, haziwezi kwisha bila makubaliano halali na Katiba ya Serikali 3. 3. Matokeo, miaka 60 sasa serikali zote 2 na raia ni maskini sana.
Si sahihi kutukanwa Raia au Kiongozi. Lakini mazingira yanaonesha CCM NDIO MWALIMU WA MATUSI KWA VIONGOZI. Moja ya ushahidi ni SAUTI YA KISONGE. Kwa miaka mingi imefurika matusi kwa Maalim Seif Sharif Hamad. Waandishi na Wahariri wa Kisonge hawajatekwa wala kupotezwa.
Toka 2013-2024, watu wanatekwa na kupotezwa. 2023, Shura ya Maimamu ilitoa ripoti ya uchunguzi. Katika ripoti hiyo jumla raia 236, wametekwa na kupotezwa. Kauli ya CCM “HAWA TUKIWAPOTEZA MSIWATAFUTE” inawafanya watuhumiwa Na.1. Kama taifa linajali uhai wa raia Dola ichukue hatua.
Wagonjwa wa figo wanatozwa Sh. 400,000/600,000, kila juma katika hospitali za Serikali. Tungenunua magari ya kawaida, mapesa yatakayobaki yangenunua mashine za kutosha wagonjwa wakasafishwa figo bure kama Komoro. Si sawa kununua magari ya kifahari wakati hospitali hazina uwezo.
“Mwanangu hajaugua wamemuuwa”. “Mama Samia wewe ni mzazi, mtoto anauma”. Hayo ni malalamiko ya mzazi ambaye mwanaye kafa mikononi mwa Polisi Karatu. Msiba mkubwa Tanzania ni pale raia wanapolalamika uvunjwaji wa haki za msingi lakini viongozi hawajali wala kuzuwia matukio hayo.
Polisi TZ wamekiri kumshikilia Imamu Yasin. Pia wamekiri utekwaji raia upo ila wao hawahusiki na waliotekwa na kupotea kabisa. Lakini utaratibu walioutumia kumchukua imamu ndio huo huo uliotumika kwa mamia ya raia waliopotea kabisa. Katika hali hii mtuhumiwa wa utekaji ni nani?
Utekwaji wa raia Tanzania unaongezeka: Trh 5/7/23 katekwa Aflah Nawanda (Dar). Trh 7/2/24 katekwa Imam Shaaban Khamisi (Magole Dar). Trh 13/3/24 katekwa Imam Abdurahman (Geita). Anayetekwa Tanzania maana yake kaondolewa duniani. Ni kweli Serikali haiwajui wanaoteka raia?
WARAKA wa Serikali wa kuzuia na kuvunja Nyumba za Ibada waanza kazi. SERIKALI IMEVUNJA MSIKITI Chalinze. Rais wetu Samia, Mwenyezi Mungu si CHADEMA, ACT, CUF nk. Tunakushauri futa waraka huo, jenga Msikiti uliobomolewa na umtake msamaha Mola wako. Yeye ndiye aliyekupa Urais.
Tumepeleka Congratulation kwa Balozi wa Afrika Kusini. Sehemu ya Waraka inasema “Ingawa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa haijatoka lakini tayari mmeshinda katika Mahakama ya Ubinadamu na Mahakama ya maoni ya watu. Kitendo chenu kimegusa nyoyo na akili za mamilioni ya watu duniani”
Vitabu vya Uharibifu mashuleni. Kitabu cha 3, kinasema: “Kijana kukaa anapo msalimia mtu mzima si maadili ya Kitanzania”. Mvulana kwa mvulana hawapeani mikono ila msichana na mvulana wanapeana - (picha). Kenya Wazazi wanapambana na uharibifu unaoingizwa mashuleni.
Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
MASHEIKH WENGINE 5 WAFUNGWA ARUSHA LEO. Sinema hii inaonesha awamu ya 4 na ya 5, zilikuwa na jukumu la kuwakamata Masheikh (na baadhi kuwapoteza) na awamu hii inatekeleza jukumu la kuwafunga na hukumu za kunyonga. Leo Mahakama Kuu Arusha imewahukumu Masheikh wengine 5, miaka 30.
TANZANIA TAIFA LISILO JALI MAADILI. Huteuwa viongozi wasio na Maadili. Baadhi hupewa mamlaka nyeti kama za kutunga Sera. Zanzibar imemualika Shoga R. Quest kutoka Ulaya akuze Utalii. Swali, ikiwa atawashauri waimarishe Ushoga kama njia ya kukuza Utalii watapinga?
MSHEIKH 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA LEO ARUSHA. Wawili waachiwa huru. Ni sehemu ya mamia ya Waislamu wanao tuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi. Wamekaa gerezani miaka 10. Wengine 10, wamekwisha hukumiwa kunyongwa Tanga. Awamu ya 4 na ya 5 waliwakama, awamu ya 6 inafunga na kuwanyonga.
“Malengo makubwa ni 3: Kwanza kudai Tume Huru ya Uchaguzi pili nyumba za Serikali zilizouzwa zirudishwe na tatu mgao wa haki katika mikataba ya Madini”. Makala yenye wito huo yalitolewa na Prof. Safari 2005. TUUNDE TUME HURU ili tupate Madiwani, Wabunge nk kwa ridhaa ya Wananchi
TUMEFANYA ZIARA MAGEREZA 3: TRH 2/9/23 Isanga Dodoma: Wapo Waislam 6 wamefungwa miaka 50 kwa madai ya kutaka kupindua Serikali. TRH 3/9/23 Gereza la Arusha: Masheikh 12 mahbusu kwa miaka 9. TRH 4/9/23 Gereza la Tanga: Wapo Masheikh 10 walio hukumiwa kunyongwa kwa madai ya Ugaidi
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMartin Maranja Masese @IAMartin_
504K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.3M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
454K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberJohn Heche @HecheJohn
735K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Hilda Newton @HildaNewton21
851K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 390 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Think Different @lifeofmshaba
421K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Freeman Mbowe @freemanmbowetz
631K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAPatrick John Assenga @PatrickJAssenga
67K Followers 2K Following Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteRichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingCPA Catherine Ruge (M.. @CatherineRuge
155K Followers 2K Following UN -empower women champion for change. Secretary General for CHADEMA Women Wing . Former Member of Parliament of UR of Tanzania 2017-2020Thabit Jacob, PhD @ThabitSenior
104K Followers 4K Following Scholar, feather ruffler & lots of other hats. Political economy of devt, all things Energy, Extractives & more. ⚽️ junkie 🦁💙. Not necessarily in that orderMchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur NotJon Mrema @JonMrema
206K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .Yericko Nyerere @YerickoNyerereT
255K Followers 4K Following @Zikomoawards: Best AUTHOR of the Year in Africa 2023 | Intelligence and Security Analyst | Member of National Assembly of CHADEMA | Chairman-YECCO GROUP LTD.Baba Mwita @BabaMwita
61K Followers 4K Following Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | An Agent of ChangeJames Chuwa @JamesChuwa74033
2 Followers 132 FollowingAlly Manyika 1968 @A196821852
71 Followers 210 FollowingObrieli Aliko @OAliko15511
6 Followers 158 FollowingAmazing Mzalendo @babuwashamba
147 Followers 144 FollowingFrank Mendoza @FrankMe87808475
2 Followers 123 FollowingEng. Matanga Juma @Officieljumaa
172 Followers 754 Following Civil & Structural Engineer|| Father|| HustlerSijali Mabena $PARAM @mabe93722
88 Followers 308 FollowingGodfrey Sirbye @GSirbye12706
85 Followers 202 FollowingLii Shango @LiiShango7874
1 Followers 29 FollowingDaudi Buyanza @Israel_isra23
211 Followers 1K FollowingGundo @Mmeho3
7 Followers 17 Followingomar Bwakame @BwakameOma2610
7 Followers 78 FollowingDamas Mapunda @DamasMapun5730
6 Followers 172 FollowingMbaraka Matungula @MbarakaMatungu1
0 Followers 33 Followingmdada @NeemaNnko759489
28 Followers 326 FollowingRinho Tz2488 @MerinhoS87449
3 Followers 103 FollowingNoel Charco @NoelCharco70418
2 Followers 38 FollowingHossiana Mbujah @MbujahHoss15838
0 Followers 45 FollowingAlbert Mwaulambo @MwaulamboAlbert
55 Followers 608 FollowingJoyce Precious @joyceprecious82
86 Followers 183 Following Managing Director AJM Apartments , JoycePrecious CollectionsPius Mulambo @PiusMulamb27
26 Followers 233 FollowingBY MWNJILISTI EMMA @BYMTUME
4 Followers 125 FollowingJohnrich @JohnYoh13235418
39 Followers 234 FollowingDulla Makoba @DullaMakob67160
33 Followers 227 FollowingAlex Munyao 🇹🇿�.. @AlexNyoks
689 Followers 2K Following Father and an Entrepreneur. I wasn't raised to fold under pressure, I was taught to APPLY IT .Frederick Modestus Ki.. @frederickihwelo
6 Followers 145 FollowingKwa Lee @KwaLee169347
9 Followers 132 FollowingVenance Mwaikambo @VMwaikambo
23 Followers 169 Following Advocate Arbitrator / Mediator CMA -TanzaniaRash_a Shemkay @Abduswamad91630
19 Followers 164 Followingsaeed khatau🌴🥥�.. @saeedkhatau
324 Followers 2K Following Better be alone than being around by people who don't value you. 💪👊💖FORTUNATUS MAHINJA @Mahinja88
50 Followers 128 FollowingMark Augustino @markaugustinx
45 Followers 300 FollowingHydary Khan @HydaryKhan29976
1 Followers 112 FollowingRAZAKI ILIASA ZUBERI @IliasaZuberi
103 Followers 404 FollowingDickson Kingunza @DicksonKin5470
30 Followers 211 Followingmohammad spater @MohammadSp29688
1 Followers 39 FollowingGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMartin Maranja Masese @IAMartin_
504K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.3M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
454K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
421K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]John Heche @HecheJohn
735K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightHilda Newton @HildaNewton21
851K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.John Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistJoseph Mbilinyi @TheRealJongwe
401K Followers 154 Following Businessman/Former Member of Parliament for Mbeya Urban Constituency/Central Committee Member - CHADEMA/Legendary African Hiphop ArtistFreeman Mbowe @freemanmbowetz
631K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAMwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingJebra Kambole @Advocate_Jebra
336K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteCHADEMA Tanzania @ChademaTz
759K Followers 11 Following The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu
743K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorJamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 326 Following The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen JournalismMchokozi !! @OleMtetezi
353K Followers 686 Following Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur NotOsiwelo Simkoko @OsiweloS
55 Followers 204 FollowingMr.Kabuka🌞 @marcokabuka1
410 Followers 2K FollowingJuvenalis Makatu @JuvenalisMakat1
75 Followers 143 Following President Musoma COTC 2023/2024 Philosopher &Psychologist Nyerere FellowJoram Kisalala @joram_edson
148 Followers 3K Following Laboratory Scientist | Programmer | Entrepreneur | BusinessmanMo son!!Tz💡 @MohamediSh69719
45 Followers 501 FollowingChaz Richard @ChazRichar25263
95 Followers 136 FollowingMOHAMED SHABAN @mochemist29
1 Followers 68 FollowingShukuru Ngonyani @NgonyaniShukuru
125 Followers 381 Following Teacher, Writer, Intellectual, Social and political analystabdulaziz hemed @Dulaaaziz
35 Followers 267 FollowingTalib ussi Hamad @talib_ussi
295 Followers 743 Following Talib Ussi Hamad is Chair person of Journalists Association For Enveronment and agriculture Zanzibar which is a member of International Federation of Agrikim william @kimwilliam10511
38 Followers 201 FollowingFred Kipamila @Frekipa
191 Followers 1K FollowingJuma Gembe @JumaGembe50777
105 Followers 523 FollowingJuma Nassoro @jumanassoro30
923 Followers 2K Following Mume//Baba //Mjasiriamali//Man City fan,(Manchester is BLUE),Azam Fc fan,Tinno @Tinno246922
7 Followers 117 FollowingKelvin Ngogo @ngogo96289
42 Followers 157 FollowingLemmeEmKnow @lemmeEmKnow
1K Followers 2K Following Journalist / political Analyst/ Lovin Democracy #luckboi #GlazersOut. Stop channeling your Probs to #USA your Genesis of your Probs Bruh @SimbaScTz #ManUnitedBuyubi Mandu @buyubi_mandu
101 Followers 398 Following student at MUHAS/ Nurse student/ I proud to a health practitioner/ politics and social. Nursing is a professional and independent professional.شمس المعارف @HajiJum62210965
191 Followers 623 Following @arsenal🛑 @yanga SC🔰 إذا كان الله معنا فمن علينا؟Wagab Wagab @wagabwagab96
65 Followers 372 FollowingR @ramadhanimlawa2
202 Followers 930 FollowingRenguo wa Renguo @Renguo80
12 Followers 122 FollowingEmanuel Maick @maick72816
13 Followers 95 FollowingJuma Mkangila @JumaMkangila
1 Followers 46 FollowingVedasto, Sylvester Di.. @Mardion740
227 Followers 710 Following Christian brother, Spreading the good news about Jesus Christ who saves.WalasInc @WalasInc
142 Followers 71 Following Common sense are not common | Believing in truth | #MUFCAlhaji Maliki @MalikiSaud47067
58 Followers 613 FollowingVailet Mgaya @MgayaVaile93377
1 Followers 33 FollowingMr. Comments @wecha2005
9 Followers 232 FollowingSultan Amran Shaban @_Realsultan
538 Followers 623 Following justice begins to be built with me first. Simba sports club, Manchester united.MOBO TECH @MoboTech_Tz
5 Followers 42 FollowingYahya Ndungutu @NdungutuYa71226
8 Followers 203 FollowingDr show me the way �.. @Shomboy9
183 Followers 543 FollowingJosephat Lebulu @JLebulu1919
30 Followers 269 Followingsalum king'anga @SalumAnga
21 Followers 148 Followingaiman @casigah
24 Followers 119 Following Soccer Chelsea die hard fan, Simba fan & Madridista in particularTax b @Taxb170041
25 Followers 242 FollowingMhanda Azizi @AziziMhanda
9 Followers 107 FollowingAlly G🦇 @AllyGJr
4K Followers 1K Following Entrepreneur || @SimbaScTanzania || @ManUtd || @RealMadrid & #CR7 Fan ⚽️ , 🎥&🎧@SheikhPonda Mama yupo vizuri mno, ni hili tu la mbowe najua atalimaliza
Miaka 60 ya uhuru @SheikhPonda ameeleza kuwa nchi imekosa maadili na kwamba mambo mabaya yameshuhudiwa inchi ikiwa huru . Fuatili mahojiano yake na Aqsa Channel Tv kwa link hii youtube.com/watch?v=cicPy4…
Mtobesya: Kuna tofauti gani kati ya 9mm na 9mm Ruger Shahidi: 9mm ni aina ya Risasi na Ruger ni aina ya Bunduki Mtobesya: Ni Ushahidi wako kwamba Ruger kwamba siyo aina fulani ya Bastola Shahidi: Ruger ni aina ya Bastola Mtobesya: Mwambie Mheshimiwa Maana ya CZ 100
“Kuna kesi mahakamani ya kiongozi mmoja wa upinzani, tunaona wenzetu wakitoa kauli kama wanasisitiza mahakama itoe hukumu kwa mrengo wao, tunawaeleza nchi hii inaongozwa kwa sheria, taratibu. Waiachie mahakama ifanye kazi yake,” Kenani Kigongosi, Katibu Mkuu UVCCM.
Hali ya Nchi imewakutanisha Mzee wa Upako na @SheikhPonda Tafadhali Subscribe Channel yetu . Ili kutazama yote bofya link hii youtu.be/VDrSJ1fYHkY.
Maimamu Dar wakutana leo kujadili tamko la IGP Sirro la polisi kukagua elimu ya Qur’an na Biblia inayotolewa na Misikiti na Makanisa. Sirro anasema kafundishwa Rwanda. Maimamu wameazimia kukutana na Maaskofu kuchujua hatua za pamoja.
Ziara ya @JUlimwengu ofisini kwangu leo ilikuwa nzuri. Mazungumzo yalikuwa mazuri, ameniletea kitabu chake muhimu sana (Rai ya Jenerali). Nimefurahi kuwa miongoni mwa watu 4, (wakiwemo Marais 2), aliowateuwa na kuwapa nakala ya awali ya kitabu hicho.
“Mjadala wa kikatiba hauepukiki, isipokuwa kama kuna kundi la watu lililodhamiria kuwafanya Watanzania mateka wao milele” maneno haya mazito nimeyasoma katika kitabu alichoniletea Jenerali Ulimwengu juzi. Watanzania tuzingatie maneno haya.
@SheikhPonda Sheikh Ponda Issa Ponda umeupiga mwingi sana. Mola akusimamie katika kusimamia haki hasa Qur'an na. Sunna