Mashabiki wa Manchester united ni kama mashabiki wa SIMBA SC Toka sir Alex ferguson atangaze kustaafu kuifundisha Manchester united imepita miaka 10+ na toka sir Alex ferguson aondoke Manchester united kama kocha wanapitia msoto wa makombe ila hiyo haijawai kuwazuia mashabiki kuendelea kuisapoti timu yao Licha ya ukata wa makombe ila Manchester united ndo timu yenye mashabiki wengi zaidi duniani pia Manchester ndo timu inayouza sana jezi zaidi duniani pia Manchester inaendelea kujaza kiwanja chake kila inapocheza Hawa ndo mashabiki wa Manchester united ambao wanafanana na mashabiki wa SIMBA linapokuja swala la simba yao Miaka 4 bila kombe la maana ila SIMBA ndo timu inayoongoza kwa kuuza jezi tanzania nzima pia ndo timu inayoingiza mashabiki wengi viwanjani kwenye mechi zao pia ndo timu yenye mashabiki wengi tanzania Hawa ndo mashabiki vichaa wa SIMBA ambao wamekula kiapo kuacha kuishabikia SIMBA aidha wafe wao au ife SIMBA yao SIMBA yetu tunayo na tunatamba nayo 🔴⚪️🦁🦁❤️
@SimbaSCFansPage Kwa takwimu gani? Mnaleta porojo kama watu wa siasa kujitilisha huruma! Simba ilianzishwa kwa kusaka makombe ya mpira sio kucheza mdako Kujisifia vitu vidogo vidogo na kuacha main goals ni dalili za kiharusi kwa club
@SimbaSCFansPage Umetumia vigezo gani kukundua kuwa simbasc inamashabiki wengi Tanzania 🇹🇿
@SimbaSCFansPage Watu wenye kufikiria wanafuata professionalism na mipango na matendo. Watu wenye kufikiria huwa hawahitaji maneno maneno yasiyo na tija, makelele na matusi/ugomvi.
@SimbaSCFansPage msitufananishe mashabik wa Utd na makolo..sisi hatuna boss anaetoa ahad za jayruty🤣
@SimbaSCFansPage Halafu kwenye mechi zenu jezi hamvai na mtaani hazionekan mmafanyiaga nini?
@SimbaSCFansPage We ni muongooooo tena liongooooooo.....ndo timu pekee inayodaiwa bilion87
@SimbaSCFansPage Hahah zimefanana mpaka kwenye uongozi
@SimbaSCFansPage 😄😄😄ila Mashabiki wa Simba 😄😄kunamda unatamani ulikamate ulizibue makofi ili liamke usingizini
@SimbaSCFansPage Na bado huu ni mwanzo tu😁😁. umebakiza maandiko kama haya buku ya kujifaliji
@SimbaSCFansPage Achaneni na drama za Man Yuu jamani, sisi mashabiki hatutaki Story tunahitaji ushindi na vikombe vyetu vyote. Hizo porojo za Man United waachieni Waingereza huko!
@SimbaSCFansPage Uache usenge.. Usifananishe Manchester United na takataka