🚨Klabu ya Simba SC inakaribia kumuuza mshambuliaji Steven Mukwala kujiunga na Al Ittihad SC ya Libya kwa dau la USD 1M (Tshs 2.4B) Steven Mukwala ajiunga na Simba SC kwa USD 150K (Tshs 370M) kutoka Asante Kotoko na Mukwala atapata USD 580K (Tshs 1.4B) katika klabu ya Al Ittihad SC kwa mwaka ukiwa ni mshahara
4
18
372
5K
4
Download Image
@SimbaSCFansPage Ni mda sasa wa kumpata mchezaji ambae Fadlu alimtaka dau tunalo Tayari #simbanguvumoja
@SimbaSCFansPage Mbona kama kocha ameweka ngumu