-
Tweets1K
-
Followers718
-
Following0
-
Likes383
"Wananchi wa Ludewa niwaombe muimarishe umoja wenu na nguvu ili kukiimarisha Chama Wilaya ya Ludewa" Dr.Vincent Mashinji
Mbunge viti maalum Mkoa wa Njombe Mhe. Lucia Mlowe akimkabidhi KM Dr Mashinji hati ya kiwanja na ramani ya ujenzi wa Ofisi Mkoa wa Njombe
Ujenzi wa chama✌✌
Naibu katibu mkuu ktk ujenzi wa chama
naibu katibu mkuu akiweka jiwe la msingi
Mkutano Jimbo la Mbozi, uliongozwa na Mhe Makamu Mwenyekiti Znz, Mhe Cecilia Paresso (mb) na Mhe Paschal Haonga (mb)
Hizi Juhudi za Kumtafuta Faru John Pia Zinatumika Kumtafuta Ben Saa8. #JustWondering.
Mhe. Freeman Mbowe amezungumza na viongozi wa Chama kuanzia ngazi za msingi katika Mkoa wa Mbeya kwenye ukumbi wa Mkapa
Mhe. Freeman Mbowe katika Ziara Mkoa wa Mbeya Jimbo la Rungwe Magharibi na kuongea na Viongozi mbalimbali wa Chama na wanachama. ✌✌✌
Mhe. Freeman Mbowe akiwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe leo asubuhi Jumatatu 19/12/2016 na kupokelewa na Viongozi wa Nyasa.
Vincent Mashinji Mh. Edward Lowassa jioni ya leo wamekutana na wadau wa chama hicho walioko mkoani Tabora kujadili maswala yahusuyo chama
Anachanja mbuga, kule ikulu chama cha mbogambona kinaendelea kumdiscuss bila mafanikio yoyote. x.com/ukawahabari/st…
Anachanja mbuga, kule ikulu chama cha mbogambona kinaendelea kumdiscuss bila mafanikio yoyote. x.com/ukawahabari/st…
LHRC inalaani na kukemea kushikiliwa kwa mwanzilishi @JamiiForums na polisi kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 1985.
Dr. Vincent Mashinji amekutana na viongozi wa Jimbo la Ulyankulu Wilaya ya Kaliua kwenye Ziara kukagua uhai wa chama Kanda ya Magharibi.
Mh. Edward Lowassa kamalizia ziara yake mida hii kwa kufanya kikao na wanafunzi wa chadema wa vyuo vikuu CHASO..
Mh. Edward Lowassa na mbunge wa Ukonga Mh. Mwita Waitara leo wilaya ya Tabora mjini kuzungumza na uongozi wa chama katika ngazi za majimbo.
"Tabora ni kitovu kikubwa sana katika historia ya siasa ya nchi hii Endeleeni kuifanya kisima cha siasa kwa kuijenga na kuiimarisha CHADEMA
Dr Vincent Mashinji yupo Mkoani Tabora kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa chama Kanda ya Magharibi
Mashinji akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya CHADEMA Kata ya Usimba Wilaya ya Kalihua Mkoani Tabora, Kanda ya Magharibi.
Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo
Holy @yose_hoza
154K Followers 32K Following Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication EngineerRashid Nazir @NazirRashi91217
28 Followers 959 FollowingGodfrey Sereha @GSereha
47 Followers 627 FollowingKAREBO KINYONI @K14403Karebo
1 Followers 122 FollowingGevance Mwalukosya @GMwalukosy53310
84 Followers 623 FollowingJuma 💪 @KigattaMatani
574 Followers 2K Followingmramba @Nyelwamramba90
579 Followers 2K FollowingPio @the1filip_filly
717 Followers 4K Following Activist based | Communication | Energy and EducationAlly Bawazir @ally_bawazir
12 Followers 179 FollowingFrank Stephen Mhidze @MhidzeFrank
117 Followers 1K Following Instagram: @255_shmurda Snap chat: @shmurda_255 #StayHighFam |Son|Brother|PR&Marketing|EventsOrganizer|420Stoner|[email protected]lifehackswahili @lifehackswahili
17 Followers 148 Following Share mbinu,ujanjaujanja,njia za mkato, ustadi, manuva nk kuongeza tija na ufanisi kwenye nyanja mbalimbali za maisha. Badilika, Boresha Afya, Furaha n.kNey Naftal @neynaftaldev
4 Followers 103 FollowingTheobard Msebeni @MsebeniTheobard
2 Followers 83 FollowingMelkizedeckbashingwa @Melkizedeck10
88 Followers 2K Following Entrepreneur/Teacher/Driver/politician@CCM/businessman/volunteer/Student of MsHR@openuniversityoftanzaniacosmo luxford @cosmoluxford
185 Followers 1K FollowingMartin Lenard Sarungi @MartinSarungi
39 Followers 68 FollowingMúturi wa Karúgút�.. @karuguti
2K Followers 3K Following Lawyer || Radio Journalist || Writer || Kenyan Patriot || Voice over artist || Politician ||Pyra🇹🇿🇷🇼 @pyrantare
2K Followers 4K Following Intare🦁| Heraclituan Philosophy |Founder: PAIRA GROUP L.T.D @pairagroup |Visionary Pan-African on Industrialization, Technologies and Trade.Home Care Pharmacy @homecarephamacy
70 Followers 207 Following Your Friendly Neighbourhood #Pharmacy | Open from 9 am to 7 pm | #HomeCareWeCareamon Kijangwa @amonkijangwa
33 Followers 1K FollowingCy Jr Tz. @cyrilplacid99
108 Followers 1K Following Mungu aksante kwakuwa umenitoa mbali na kuendelea kunibeba mpaka hapa nilipo aksante yote ni kwa neema kutoka kwako nakuomba yale yote uliyoyapanga kwamba niyatjailos kabunda @kabundajailos
23 Followers 894 Followingfrance kanenje @francekanenje3
39 Followers 279 FollowingBAZILIO ABDALLAH @BazilioAbdallah
66 Followers 803 FollowingABDALAH MASUDI @abdalah_masudi
154 Followers 980 Following Nasapot music mzuri TZ 87.8 pride FM Team media whatsap +255712067626Vitus Nkuna @VitusNkuna
88K Followers 2K Following Mwanachama, Mpenzi na Mfuasi wa @Chadematz. ||Ex- Katibu wa Bavicha Iringa.|| Next Kyerwa MP-2025 |I M4C || Tuilinde kwa wivu Chadema✌️Kilongozi Bakari @KilongoziBakari
646 Followers 2K FollowingRenatus Kangimba @RKangimba
2 Followers 10 FollowingJOHN NANGA @davidjohn2887
36 Followers 325 FollowingNoble Newman @NewmanNoble
2K Followers 4K Following Noble Newman is a poser of questions and teacher of knowledge. Author and Business man. Tweets on #books, #lit, and #entrepreneurship.cynthia kwamboka @cynthiakwambo75
373 Followers 1K Following Cythia kwamboka from a Kenya a poem writerSteven Kessy @steven_kessy
340 Followers 1K Following 💲forex💲CRYPTOCCURENCY💲 upcoming lawyer💲 I 💙 JESUS 👑👑👑👑👑👑 ✌✌✌[email protected] M @Mbayanigmailco1
2 Followers 42 Followingrobertmetana @robertmetana1
9 Followers 144 FollowingMbunge viti maalum Mkoa wa Njombe Mhe. Lucia Mlowe akimkabidhi KM Dr Mashinji hati ya kiwanja na ramani ya ujenzi wa Ofisi Mkoa wa Njombe
Hizi Juhudi za Kumtafuta Faru John Pia Zinatumika Kumtafuta Ben Saa8. #JustWondering.
Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika Mahakama ya Kisutu, baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku 7.
Anachanja mbuga, kule ikulu chama cha mbogambona kinaendelea kumdiscuss bila mafanikio yoyote. x.com/ukawahabari/st…
Mh. Edward Lowassa kamalizia ziara yake mida hii kwa kufanya kikao na wanafunzi wa chadema wa vyuo vikuu CHASO..
Tumejengwa kwenye misingi ya kuamini unafiki is part and parcel of our life pretending our problems doesn't concern us but others are..... x.com/musobijacob/st…
Sitaki kuamini hii TWIT imeandikwa na MTANZANIA/MTANGANYIKA...Una guts za kumshangaa YAHYA na una SHEIN Jirani hapa? x.com/cw_pedro/statu…
Jisahihishe kwanza wewe kwa kurudisha fedha za Escrow ndo uje Uniambie na mimi nijisahihishe ...Sawa FISADI? x.com/williamngeleja…
@OleMtetezi Umeishi ukiijua Tanzania yenye misingi ya Utu, Umoja na udugu ila leo unataka Tanganyika ambayo hujawahi kuiishi. Jisahihishe
Mhe Lukuvi alipofika Manispaa ya Shy ilinibidi niwepo, sababu Kata zenye migogoro mingi ya Ardhi kata yangu namba1
Mke wa Godbles Lema (Mb wa Arusha) akimpungua mume wake alipokuwa akirudishwa gereza la Kisongo na kesi kupangwa kusikilizwa 2/2/2017
Hivi ni baadhi ya vitu nilivyo omba msaada kwa Nchi wahisani Ulaya, kwa ajili ya wananchi wa Kata yangu na Manispaa.
kila la kheri wana CHADEMA x.com/ukawahabari/st…
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo inakutana mkoani Mtwara katika eneo la Ndanda kujadili mambo mbalimbali
Hizi hangover hizi 😂😂😂😂 kama hatuna pesa ya supu tuwe tunakunywa maji mengi 😂😂
Kila la kheri majirani #SiasaNiMaisha x.com/ukawahabari/st…
M/Kiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi wa chama katika kata ya Nambambo Jimbo la Nachingwea Mkoa wa Lindi.
Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika akikagua uhai wa chama Mtama, afanya kikao cha ndani kata ya Mtama Mjini Jimbo la Mtama.
Kanda ya Pwani na Dar es Salaam Kuu yaendelea kutoa mafunzo ya uongozi kuanzia Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Madiwani jiji Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe ukizindua ujenzi wa Msingi na Ofisi ya Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi
MB V/M Mbeya Mhe. Sophia Mwakagenda akiwa na wanafunzi wa shule ya Msingi Mlingula Jimbo la Ndanda kuunga Mkono juhudi za MB wa Jimbo hilo.
M/kiti Baraza la Wazee Taifa Hashim Juma Issa akisalimiana na M/kiti wa Baraza la Wazee kata ya Mlingula Jimbo la Ndanda.
M/kiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji kata Nambambo Jimbo la Nachingwea
Mb/VM Domoma Mhe. Kunti akiongea na wananchi wa Mlingula wanao unga mkono jitihada za Mb wa Jimbo la Ndanda la ujenzi wa madarasa.