Watu matajiri hutumia mikopo kama njia ya kuongeza utajiri wao kwa sababu mikopo haitozwi kodi. Wanamiliki mali zenye thamani, kisha wanakopa na kutumia mali zao kama collateral bila kulipa kodi – ni njia ya matajiri kujijenga kimtaji bila mzigo wa kodi. Jifunze elimu ya kodi!
Iko ivi,
>Maarifa ya uwekezaji.
>Maarifa ya kutengeneza pesa.
>Maarifa ya kudhibithi pesa isipotee.
Ndio kitu kikubwa kinachotenganisha watu matajiri na masikini
Ukweli mchungu:
Unaweza kuwa smart sana
Unaweza kuwa na IQ kubwa sana
Unaweza kuwa na uwezo wa hali ya juu sana
Unaweza kuwa na juhudi ya kiwango cha juu
Unaweza kuwa na visions matata sana
Ila kama jina lako halijafika kwenye meza ya watu sahihi, utasugua sana gaga, my friend.
Moja ya makosa makubwa naona wajasiriamali wengi wa🇹🇿wanafanya ni;
—Kuonesha unyonge
—Kutia huruma, na
—Kunyenyekea kupita kiasi
Mtu ana-post bidhaa/huduma yake; anaandika "naombeni mni-support au tuinuane wapwa"
Kumbuka unafanya biashara, ww si yatima kwamba unatafuta msaada
Kuna wale washkaji wanafiki wanaokucheck tu ili waone umefikia wapi maishani tangu mlipoonana mara ya mwisho... halafu waanze kujilinganisha.
Usiingie kwenye mtego wao:
—Weka mipaka
—Usijielezee kupita kiasi
—Usioneshe kukereka
Jibu kwa utulivu "Mambo yanaenda, Mungu anasaidia"
Unawaangalia age mates wako na washkaji uliosoma nao, wengi wametusua maisha, career, finance, assets, family nk
Usijisikie vby Bro, just calm down. Usipanic
Wakati mwingine inachukua miaka 10 kufikia mwaka mmoja utakaobadilisha kabisa maisha yako mazima
Just KEEP GOING bro!
GM
100 Followers 669 FollowingElectrical /Air condition and refrigerator technician.
Tunauza na kununua magari used/ mpya.
Call📠/whatsapp https://t.co/w7D7SC9zJI🗨️ available for cars.
262 Followers 4K FollowingTrading For 9 Years | Qualified Dr | Podcast Host "TOT" & Live Public Signals Of All My Trades Since Nov 2023 Result: 75 Trades & +59.5% Gain, Tracked
851 Followers 979 FollowingUnataka Kusoma Vitabu Lakini Huna Muda? Usijali,
Nitakusaidia Hilo Kwa Kukupa Muhtasari Za Kiswahili Status Kwangu BURE. WhatsApp link👇🏾
1K Followers 1K FollowingReal-time embedded systems background then 20+ years in finance. Now solo. rust, tauri, sveltekit, ai, x86 asm, c++, c#, python, wasm. Self-parody sometimes.
21K Followers 929 FollowingOur mission is to respond by feeding Africa🌍 l Agribusiness Consulting l Sustainable Agriculture l @MalemboGlobal l @AcademyFarms ll @UgaliElimu #GlobalGoals.
182K Followers 63 FollowingBuilding new freedoms of imagination for the world through pioneering research and design. Try Dream Machine for free → https://t.co/LmWmA4H803
347 Followers 131 Following👩⚕️ Chat/Ongea na daktari kupitia app ya Medikea
🏥 Tembelea kliniki yetu kwa huduma za ana kwa ana, dawa na maabara
📲 Pakua Medikea App kwa kubofya link ⤵️
1.1M Followers 536 FollowingCo- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania
10K Followers 376 FollowingBuilding @swahiliespay to help African SMEs access financial services | Leading fintech insights in Africa at @twifintech | Cyclist 🚴🏾♂️
252 Followers 161 FollowingFull-Fledged Management Consulting Firm working with industry experts to offer unique solutions capitalizing on innovation and digital entrepreneurship.
11K Followers 1K FollowingOfficial account of the FUNGUO Innovation Programme, funded by @Undptz, @FinnishEmbTZ , @EUinTZ and @UkinTanzania in partnership with @costechTANZANIA.
9K Followers 273 FollowingA corporate events management company, The company is behind East Africa's largest Innovation and Technology Entrepreneurship event, Sahara Sparks.
3K Followers 799 FollowingJina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.
1.3M Followers 1K FollowingCo-Founder of Coursera; Stanford CS adjunct faculty. Former head of Baidu AI Group/Google Brain. #ai #machinelearning, #deeplearning #MOOCs
946K Followers 158 FollowingWe're a community of millions of people who are building new skills and getting new jobs together. A 501(c)(3) public charity. Tweets by @abbeyrenn.
1K Followers 4 FollowingAffordable digital finance app by @selcom_mfb, empowering individuals with secure and fast financial solution. Get started now! For Android or iOS.
2K Followers 296 FollowingA transformative venture building firm that is supporting early stage startups to grow and succeed through our venture building fund program. 🇹🇿
339 Followers 25 FollowingHub for young Tanzanian minds and creators || Located in Iringa, Tanzania (East Africa) || We are the future Creatives driven by Passion and Creativity.
569 Followers 1K FollowingI tweet trends in Data Science, Machine Learning, and AI.
A believer of Data Intuition behind @1ntelligencelab
I Build and explore AI, TRY ME!
💻
1K Followers 810 FollowingScaling @taifatek | Trained 10K+ students in STEM across Tanzania | Member @TOTTechs | My tweets are Personal insights, not to be quoted.
2K Followers 885 FollowingFINANCIAL LITERACY EXPERT || MINDCHITECT ||SELF-AWARENESS EXPERT || turning ideas in to income || teaching how to make, manage & multiply money || DM for Biz
357 Followers 310 FollowingFor Airtel 5G WiFi IDU Routers and ODUs, call me; 0686225334, Nipigie Nije kukunganisha.
.
TANZANIA 🇹🇿 Nchi yangu naipenda sana
17K Followers 4K FollowingTanzanian Online grinder / I help businesses grow online fast — No excuses. Tweets: monetization tricks, SEO truth, content that bites. You ready?