Miaka 18, yeye ana chaguo.
Miaka 18, wewe huna chochote.
Miaka 25, yeye anatafuta upendo.
Miaka 25, wewe unajitafuta kimaisha.
Miaka 30, yeye anapumzika kidogo.
Miaka 30, wewe unaanza kuona mafanikio.
Bro,
Maisha ya mwanamke yanaanza akiwa na miaka 18.
Maisha ya mwanaume…
Uzinzi na umalaya unakupeleka guest/lodge ... taulo alilojifutia mzinzi mwenzio mataconi wewe unajifutia usoni
Unalalia mashuka yaliyomwagiwa mbegu za mwanaume mwingine
Hiki ni kiwango cha juu sana cha uzwazwa na ulimbukeni
Sijui ni kwanini? Ila ukichunguza patterns za binadamu, utagundua kwamba tuna tabia mbili za ajabu:
1. Tunawapuuza wanaotupenda, kisha tunawapenda wanaotupuuza.
2. Tunawaumiza wanaotupenda, na tunapenda wanaotuumiza.
Zinaa, uasherati, na umalaya umehalalishwa na kuzoeleka sana katika jamii kiasi kwamba mtu asiye na hizo tabia anaonekana either ana matatizo au ni mtakatifu sana, wakati ni uungwana wa kawaida kbs.
System inataka uwe na cheti,
Soko linataka uwe na ujuzi,
Familia inataka uajiriwe,
Alafu wewe mwenyewe unatamani kujiajiri.
Ukizingatia na umesoma na hauna ajira
Muone kila Binadamu ni mkosaji (tambua kuwa hata wewe unawakosea sana wengine na wanakuvumilia). Hivyo usiwe mwepesi wa kuwaadhibu wenzio kwa ubaya).
Roho mbaya haiigwi.
Kila siku nijikumbushe kuwa;
1. Mungu yupo✅
2. Mimi ni bora but si bora kuliko wengine✅
3. Mimi si mjinga✅
4. Mimi siyo failure✅
5. Niko hapa kwa neema✅
6. Kuwapenda wengine✅
7. Kuishi katika nyakati zote✅
8. Kesho itakuwa bora kuliko leo✅
9. Sitadumu milele✅
🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
48K Followers 52K Following#Laiti nyumba zingekuwa Na vinywa zingetoa siri za Wengi. @Bora uanze vibaya ukamalize vyema kuliko kuanza vyema ukamaliza vibaya🤦
672 Followers 2K FollowingI'm Ayomide and I sell wristwatches ❤️ luxury or nothing 🔥🥵. class on your wrist confidence in your stride choose timeless elegance.
dm to get yours now 😌
5K Followers 7K FollowingI have a fucked up sense of humor
I know where it comes from. I have been molded by life
When the rains stops, the umbrella 🌂 becomes a burden.
31K Followers 5K Following@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
724 Followers 770 Following《Crypto influencer》《Proud $Sign member🧡🧡》《WORLD FAVORITE 💖》《Best in funny reply》《My timeline will surely make you laugh😂》《Bring in ads》《Crypto Vendor》
5K Followers 3K FollowingMP aspirant West Mugirango Constituency || CEO Osurex Limited || CEO Feel Here Expedition || USDT merchant & Crypto Arbitrage Coach || I play Sax 🎷
687 Followers 2K Following@footballfrenzy
Economicst
passionate about football ⚽ and a lot more
Also an authorized Mentor spreading motivation and inspiration🎖️🪔
573 Followers 649 FollowingEnthusiastic and passionate Community Development and Social Justice practitioner, helping individuals and communities understand and solve their own problems.
2K Followers 2K FollowingThis is a Human run Account.👁️🗨️
Future M.C.A Kangeta Ward.🌍
chelseafc fan
@grok user 🌐
🗣️NA ENJOY LIFE 😄,KULIKO LIFE INI ENJOY.😎
4K Followers 6K FollowingE football gamer ⚽ #Visca Barca; Lionel Messi🐐
Ngori ni kutoka blok😭..I don't know you but I trust your dreams are valid.
Ka uko na form fanya hivi..kuja DM
265K Followers 2K FollowingMtu mpole 👤 pia ni kijana mwaminifu kweli kweli || meme lord || @ChelseaFC fan || visit my facebook page https://t.co/RfWTLUyBoI.
672 Followers 2K FollowingI'm Ayomide and I sell wristwatches ❤️ luxury or nothing 🔥🥵. class on your wrist confidence in your stride choose timeless elegance.
dm to get yours now 😌
31K Followers 5K Following@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
724 Followers 770 Following《Crypto influencer》《Proud $Sign member🧡🧡》《WORLD FAVORITE 💖》《Best in funny reply》《My timeline will surely make you laugh😂》《Bring in ads》《Crypto Vendor》
3K Followers 2K Followingsapphic love, and iced coffee, my emotional support ENHA/SKZ - my fashion inspo cosplay addict | wig glue real life 📍tweeting from my sewing desk or a con l
5K Followers 3K FollowingMP aspirant West Mugirango Constituency || CEO Osurex Limited || CEO Feel Here Expedition || USDT merchant & Crypto Arbitrage Coach || I play Sax 🎷
687 Followers 2K Following@footballfrenzy
Economicst
passionate about football ⚽ and a lot more
Also an authorized Mentor spreading motivation and inspiration🎖️🪔
6K Followers 1K FollowingMember of CCM Party//YangaSC Fan
🛑MWENYEKITI UVCCM PHCI,2019-2022
🛑 MJUMBE WA BARAZA UVCCM WILAYA(2019-2022)🛑SPEAKER OF THE TAPSSO PARLIAMENT,TPSC,2022-2023