Fahamu kuhusu Hactoberfest na namna ya kushiriki. Fuata thread 👇
1
6
16
0
4
Hactoberfest ni tukio la kila mwaka inayofanyika mwezi Oktoba kwa udhamini wa DigitalOcean. Lengo la tukio hili ni kuwapa motisha waundaji wa mifumo(developers), na watunzaji(maintainers) kutoa michango yao katika miradi inayoruhusu watu kutoa michango yao.