Search results for #ChristianBella
Mdundo wa Siku 🎶 Furahia vibe ya ngoma hii mpya #Egwagude kutoka kwa @BellaChristian1 ft. @petit_mauzo1 hapa ndani ya Mdundo 🔥 Download hapa: mdundo.com/song/2899972 #MdundoWaSiku #MdundoTZ #NyimboMpya #Bongo #ChristianBella
Tunamuangazia msanii mkali #ChristianBella kwenye mix ya leo... Download 'Best of Christian Bella' ndani ya Mdundo hapa: mdundo.com/song/2058582 #ChristianBella #MixMpyaKilaSiku #SambazaShangweGusaMaisha #Vodacom
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi, striker anaweza potea , wengi wanawacheat na kuwaudhi wachache wanaoplay fair" #FidQ ft #ChristianBella- ROHO
Ed Sheeran - Magical [Fan Created Music Video - Ireland] #EdSheeran RajahWild - 100 Mile #RajahWild Christian Bella - Tamu (w/ Fid Q) #ChristianBella Added to 'L'Amour Toujours' - N°648 >> go.rvm.pm/136x
#BURUDANI Mwanamuziki Christian Bella anasema kwa wasanii lazima wajipange kama wanataka kusimama naye kwenye stage 1 kufanya show za live. Ni msanii gani unadhani anaweza kum-challenge #ChristianBella kuimba live? #PlanetBongo #ChristianBella #FidQ #PFunkMajani
#BURUDANI Mzee Mbuzi @FidQ anasema ngoma yake ya Roho iliyotoka mwaka 2016 ft #ChristianBella ndio unasikilizwa sana kuliko nyimbo zake mpya ambazo amezitoa baada ya roho. Ngoma gani unaikubali zaidi kutoka kwa Fid Q? #PlanetBongo #ChristianBella #FidQ #PFunkMajani
#BURUDANI Ngosha The Swagga Don @FidQ anasema kihistoria ya muziki wa Bongo P-Funk Majani @P_Majani ndio Producer pekee ambaye anatoa Hit na Classic songs tu. #FidQ amesema hilo baada ya ugenius alioufanya #PFunkMajani kwenye ngoma ya Roho aliomshirikisha #ChristianBella.…
#BURUDANI King Of Best Melody Christian Bella ameshea nasi Experience ya kuishi nchi za nje raia wanavyomchukulia kama msanii. #PlanetBongo #ChristianBella #FidQ @lesa_sid
#BURUDANI Mwanamuziki @bruce_africa amefichua chanzo cha kutoka kwa #ChristianBella na #CountryWizzy wasanii ambao walikuwa wanamsimamia kwenye kazi zake katika vipindi viwili tofauti. #FridayNightLive
#Trustory Alianza #ChristianBella na sasa amefuata #Kondeboy kum intro-juz #HamisaMobetto kama mtu mwenye sauti inayofaa kwa matumizi ya muziki 🎶. Nikikutana na yeyote kati yao nitatamani kujua ilianzia kwenye 'akiwezacho binti' au akipendacho binti' ?🚶🏾♂️ 😀 #WetalkMusic
#KIJIWENONGWAEP47 Iko hapa tayari. Tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa @Rayvanny, #ChristianBella na #Appy. EP mpya ya #AbigailChams na kuondoka kwa #Dullah @earadiofm Tusikilize hapa x.com/i/spaces/1dRJZ…
#BURUDANI Baba Ako Motra The Future @MotraThe amefunguka kuhusu ukubwa wa @KHALIGRAPH ambao amepewa na wasanii wa Tanzania baada ya kuanza kufanya nao kazi kama #Rayvanny #Harmonize #ChristianBella na wengineo. #PlanetBongo #Muziki #MotraTheFuture #KhaligraphJones
#BURUDANI Mmiliki wa lebo wa CBO @Bellachristian0 ametusanua na kutoa ushauri juu ya mdundo wa amapiano kwa wasaniii wa Tanzania kusahau mdundo wao na kukaa kwenye amapiano. #EastAfricaTV #eNewz #ChristianBella
Christian Bella – #Tatiana Christian Bella – Tatiana MP3 DOWNLOAD. Tanzanian Bongo Flava singer Christian Bella has released a new single titled "Tatiana". RELATED: Lava Lava ft Diamond swahilivibetz.com/christian-bell… #ChristianBella
Savour the delightful collaborationi ya David Kalupa na Christian Bellal katika "True Love" kwenye Troto! 🎶💕 Link: d.troto.co/?c=NjJm @DavidKalupa #TrueLove #TrotoExperience #DavidKalupa #ChristianBella