Search results for #KaziIendelee
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Ni siku muhimu ya kuenzi mchango wa wafanyakazi katika kujenga taifa letu na kutambua haki zao. #SSH #CCM #KaziIendelee #MSLAC #katibanasheria #pindichana
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2024! #postatanzania #postadeliversbetter #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #chukuafungashafikisha #meimosi
Uongozi, Menejimenti na Watumishi wote wa Sekta ya Afya tunaungana pamoja katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani. Tunatambua na kuthamini mchango wa kila mmoja wetu katika kuendelea kuhakikisha huduma bora za Afya zinapatikana kwa uhakika kwa wananchi. #KaziIendelee
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani #internationallabourday #meimosi #meimosi2024 #kaziiendelee #bodiyamfukowabarabara #roadsfundboard pakua #barabaraapp sasa
UVCCM Seneti Mkoa wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM zilizopo mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam. Tarehe 30 Aprili, 2024. #KaziIendelee #VyuoNaVyuoVikuu #KulindaNaKujengaUjamaa #SisiNaMamaMleziWaWana
na Walezi na Viongozi wa Matawi ya UVCCM Seneti Mkoa wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM zilizopo mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam. Aprili 30, 2024. #KaziIendelee #VyuoNaVyuoVikuu #KulindaNaKujengaUjamaa #SisiNaMamaMleziWaWana
Nimependa hapo kuwa zaidi ya 60% ya bajeti inakwenda kutekeleza miradi ya maendeleo itakayohakikisha upatikanaji wa ajira zaidi #KaziIendelee #BajetiMadini
Nimependa hapo kuwa zaidi ya 60% ya bajeti inakwenda kutekeleza miradi ya maendeleo itakayohakikisha upatikanaji wa ajira zaidi #KaziIendelee #BajetiMadini
The Late Archbishop rested at the age of 81 years and will be remembered as a strong pillar in the church and community. May he rest in eternal peace. #MukamiMaendeleoMashinani #maitundacenjagio #KaziBilaKelele #ToGodBeTheGlory #KaziIendelee
Mheshimiwa . , Dkt. Samia Suluh Hassan. Mwenyekiti Wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Na 2025 Tunaenda Naye. ——#PhotoSpeak: #KaziIendelee!!!💯
Nikijibu maswali yaliyoulizwa na Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Mawasiliano Bungeni, jijini Dodoma leo Aprili 30, 2024. @Nnauye_Nape. #KutokaBungeni #TzyaKidijitali #TzDigitalTransformation #MawasilianoNchiNzima #kaziiendelee
Muhadhara huu kwa ujumla wake unaleta umuhimu katika kukuza uwajibikaji, uwazi na uelewa wa umma kuhusu masuala ya sheria na haki nchini Urusi na hata kwa mataifa mengine. #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #Katibanasheria
MUHADHARA WA WAZI WA KITAALUMA KUTOKA KWA WAKUFUNZI WA OFISI YA MWENDESHA MASHTAKA MKUU NCHINI URUSI Faida ya muhadhara huu ni; 3. Kongezwa kwa upana wa uelewa kwa vyombo vingine vya haki na sheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Matokeochanya #MSLAC #Katibanasheria
MUHADHARA WA WAZI WA KITAALUMA KUTOKA KWA WAKUFUNZI WA OFISI YA MWENDESHA MASHTAKA MKUU NCHINI URUSI Faida ya muhadhara huu ni; 2.Kupambana na ufisadi na unyanyasaji wa mamlaka #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #Katibanasheria
MUHADHARA WA WAZI WA KITAALUMA KUTOKA KWA WAKUFUNZI WA OFISI YA MWENDESHA MASHTAKA MKUU NCHINI URUSI Faida ya muhadhara huu ni; 1. Kuongeza uelewa kwa umma #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #Katibanasheria
Makalla, Dk Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, viongozi wa vyama vya siasa njoni tushindane kwa hoja zenye mashiko sio kuchochea ubaguzi. #ChamaImara #KaziIendelee
@SuluhuSamia Hongera sana zikufikie Mama yetu Pendwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt @SuluhuSamia #SisiNaMamaMleziWaWana #VijanaJeuriYaChama #KaziIendelee
@HusseinBashe Mitaro na mifereji Kwajili ya umwagiliaji,tuna chimba mabwawa na kutengeneza Barabara Kwa viwango vyote, kilimo kinacho tuletea maendeleo ni pamoja na Miundombinu Bora na ya uhakika machine zetu zina nguvu gharama zetu ni nafuu Sana +255714908121 #Bajetiyakilimo #KaziIendelee
Makalla, Dk Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, viongozi wa vyama vya siasa njoni tushindane kwa hoja zenye mashiko sio kuchochea ubaguzi. #ChamaImara #mamayukokazini #KaziIendelee
#MSLAC kusimamia mifumo ya kisheria na inayolinda haki. Kutoa miongozo na ushauri kuhusu sheria, kusimamia mifumo ya mahakama na utoaji wa haki, na kudumisha utaratibu wa haki na usawa mbele ya sheria. #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #MSLAC