Search results for #Ramadhani
🇸🇦 UISLAMU UNAKUA KWA KASI KWA WATU KUTAMKISHWA SHAHADA 👉mwaka 2024 umekua mwaka wa mafanikio zaidi baada ya kushudia #wakristo,wayahudi,wahindu na wapagani wengine wakitamka shahada kwa wingi,,hasa mwezi wa #Ramadhani ulioisha
@ChiefBrody19 @GMB On a different topic just saw #Alex what a test of strength That was Speaking of which have you seen the #Ramadhani bros on AGT That is an act of balance strength , sheer hard work
Sikiliza nyimbo za Qaswida za kusherehekea mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kwenye mix spesheli ambayo inamshirikisha @NedyMusicTZ @MzeeYussuf hapa ndani ya Mdundo 🎶🎶 Bonyeza link hii ili uweze kuidownload mix hii: mdundo.com/song/2046575 #Ramadhani #RamadhanKareem #Qaswida
TEBAR TAKJIL HARI KE 9 💫 Tidak terasa, kita telah memasuki hari ke-9 shaum Ramadhan, mari manfaatkan keutamaan bulan ini untuk mendulang banyak pahala berlimpah. #zakatuntuknegeri #ramadhani #zakatkuatkankotadepok #takjil #lazismukotadepok
Mwananchi anazungumzia jinsi mwezi wa #Ramadhani unavyokwisha haraka na umuhimu wa kutumia muda uliobaki kwa dhikr na utiifu
Ramadhani Kareem kwa ndugu zetu Waislamu wote 🌙🕌 Sikiliza nyimbo za Qaswida unapoendelea na sala katika mwezi huu mtukufu kwenye mix hii spesheli ambayo inamshirikisha @ASNINA._ hapa Mdundo 🎶 Download sasa: mdundo.com/song/2888858 #RamadanKareem #Ramadhani #MdundoTZ
thawabu ya mtu anayefunga.' (Sunan At-Tirmidhi) #Ramadhani #Iftar #Ukarimu"
#Picha ya askari wa Israel (Waislamu) wakipofuturu ndani ya #mwezi #mtukufu #Ramadhani huku wakiendelea kulihudumia jeshi hilo maeneo mbali mbali.#UarabuniUpdates
Kitu na wish kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ni kupata eftari @IkuluTanzania nikiupata mwaliko wa dhati kutoka kwa mama ye2 kipenz @SuluhuSamia #Ramadhani qarim wa Tanzania wote 2zidi kuombea inchi ye2 pendwa yenye amani na upendo
Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulaziz ametumia kuanza kwa mwezi wa Ramadhani kutoa wito wa kukomeshwa uhalifu mbaya sana unaofanyika katika Gaza iliyokumbwa na vita. #waislam #saumu #ramadhani #mfalme #salman #saudiarabia #wapalestina #voaswahili voaswahili.com/a/waislamu-waa…
@millardayo Msimu wa Mfungo wa Ramadhani umewadia, na pia ni wakati mzuri wa kuboresha na kuleta mabadiliko kwenye Curriculum Vitae yako! Jitayarishe kwa safari mpya ya fursa na ujue jinsi ya kuweka CV yako vizuri na inayovutia. #Ramadhani #MaendeleoYaKazi #CVYaKisasa
Msimu wa Mfungo wa Ramadhani umewadia, na pia ni wakati mzuri wa kuboresha na kuleta mabadiliko kwenye Curriculum Vitae yako! Jitayarishe kwa safari mpya ya fursa na ujue jinsi ya kuweka CV yako vizuri na inayovutia. #Ramadhani #MaendeleoYaKazi #CVYaKisasa
Ramadan Kareem 🌙 ! As Ramadan arrives, we pray that Allah (SWT) accepts our fasting, brings swift justice to our ummah and allow for us to be closer to our faith and deen throughout this month. Ameen. #ramadan #vukaboda #fasting #ramadhani
ALHAMDULILLAH TUMEIMALIZA TARAWEHE YA KWANZA YA MWEZI WA #RAMADHANI 1445