Kuna wakati KUPUUZWA na wale ambao ungetamani WAKUTHAMINI ndio njia PEKEE ya KUKUTENGENEZEA USONGO wa mafanikio yako. Badala ya KUUMIA zaidi, fanya BIDII ili siku moja WAJUTE kwa nini WALIKUPUUZA.
0
0
1
31
0