Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #Leadershipmof.go.tz Dodoma, TanzaniaJoined September 2013
Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki mkutano huo wenye lengo la kuanisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja, Rais anaweza kutokea kona yeyote ya nchi. Ndugu Tundulisu unaweza kuwa MVIVU wa kuisoma Katiba ya nchi yetu, Basi msikilize Baba wa Taifa.
Matukio mbalimbali ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa…
📍 Nairobi, Kenya | Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA)
Kupitia IDA mamilioni ya Watanzania wananufaika na miradi 14 inayotekelezwa kwa USD bilioni 3.87 kwenye sekta za elimu, afya, hifadhi ya mazingira, miundombinu, nishati na Tanzania ya kidijiti.…
"Kutokana na kiwango cha madeni cha sasa, tunaamini kuwa IDA21 inapaswa kujikita zaidi katika kutoa mikopo yenye masharti nafuu, kama vile mikopo itakayolipwa kwa miaka 50. Rasilimali hii itaziwezesha nchi za Afrika kutatua changamoto za maendeleo."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu…
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
MAWAZIRI WA FEDHA AFRIKA WAKUTANA PAMOJA
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 Madelu (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa…
📍Kenya
🇹🇿🇰🇪
1.Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maaalumu wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21)…
Leo nimeungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maaalumu wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya…
Serikali imesema kuwa inaandaa mfumo wa kielektroniki wa kutoa ankara ya pamoja kwa huduma zinazolandana ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaostahili kulipa kodi ya jengo na kodi ya ardhi.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan…
I had a very good Meeting with Dr. @akin_adesina , President of @AfDB_Group . A follow up Meeting to the Discussions between HE. Dr. @SuluhuSamia and Dr. Adesina on Financing of Agriculture, Energy and Infrustructure.
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa.
Dkt Mwigulu Nchemba amesema hata kama Fedha hizo ni za Mkopo, bado ni Fedha za…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe…
1.1M Followers 981 FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father
2.7M Followers 489 FollowingAward winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
1.2M Followers 661 Following#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.
1.2M Followers 1K FollowingVisionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
274K Followers 3K FollowingFootball Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCO
1.0M Followers 8K FollowingMbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information Technology
629 Followers 7K Followingperiodismo independiente, diseñador gráfico publicitario nacido en Chubut Sarmiento hijo de militar y directora de escuela,respeto e igualdad, lema
6 Followers 13 FollowingUDOM Alumni||Holder of bachelor degree in Geography and Environmental studies||EIA Expert and consultant Founder of Smart Generation Group||Teacher
1.1M Followers 981 FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father
2.7M Followers 489 FollowingAward winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
1.6M Followers 44 FollowingA multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
1.2M Followers 661 Following#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.
1.2M Followers 1K FollowingVisionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
274K Followers 3K FollowingFootball Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCO
16K Followers 3K FollowingA lifetime initiative established with a purpose to profile positive legacy & create compelling brand image on all aspects of 🇹🇿. #ProudlyTanzanian
55K Followers 1K Following“Bearer of the flame of Justice for the masses”...Concerned Citizen, an East African. Member of Parliament for Mahonda Constituency Retweet not an endorsement
11K Followers 339 FollowingAn Official Account of Tanzania Embassy, Seoul, Republic of Korea |Follow us on
Instagram: tanzaniaembassykorea| Facebook Page: Tanzania Embassy, Korea|
6K Followers 590 FollowingOfficial account of the Tanzania High Commission in Kenya, which is also accredited to Eritrea, Seychelles, Somalia & South Sudan; and to UNEP and UN-Habitat
39K Followers 3K FollowingFormer @UN Coordinator in #Turkiye and #Tanzania. Prior @UN work in #Afghanistan #Somalia #Pakistan #Thailand #China #Kenya and HQs.
14K Followers 328 FollowingA government institution | Seeks to inspire African leaders and promote the recognition of the important role of leadership in sustainable development.
2K Followers 95 FollowingCEO of the Millennium Challenge Corporation. Working to promote economic growth, reduce poverty, and invest in future generations.
459 Followers 707 FollowingPhysical Education & Sports Science| Swim_Coach| Football_Coach | Liverpool YNWA| @SimbaScTanzania 🔴 Do the best God will do the rest 💪
107 Followers 708 FollowingFinancial Analyst/Portfolio Manager/Media Personality/Corporate Advisor/Accountant(Bachelor Degree)/Overall Best Student in Business Administration(Diploma)
27K Followers 1K FollowingOfficial Twitter account of the Embassy of Sweden in Dar es Salaam. Retweets not to endorse but to inform and share. The Ambassador is also on twitter @SweAmbTZ
4K Followers 158 FollowingA member-based organization that advocates for enabling business environment through effective policies & practices in the manufacturing & supporting industries
56K Followers 80 FollowingUkurasa Rasmi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, (Official Page for PO-RALG)
https://t.co/k3ENeUVQHe 1923
Dodoma
Email: [email protected]
Mji wa Serikali Mtumba
6K Followers 341 FollowingThe official account of The High Commission of Tanzania to South Africa. Also accredited to Botswana, Lesotho and SADC Secretariat.
8K Followers 121 FollowingHumble Loving Father | Philanthropist | Diplomat | Entrepreneur & Implementor who believes in turning big ideas into reality.
13K Followers 232 Following| District Commissioner - Kigamboni | Member of Parliament 2015 - 2020 | Diplomat | @SimbaSCTanzania ❤️| Mother of Two | Patriot of the U.R.T | Wifey |
7K Followers 5K FollowingOrdinary person. Among the founders and CEO for @TanzaniaSA. My mantra “There is a World out there”. Wellbeing-Prosperity- The pursuit of Happiness.
No recent Favorites. New Favorites will appear here.