Pole sana kwa familia ya Gabriel Kandonga, pole sana familia ya ITV na Radio one kwa kuondokewa na kijana mchapa kazi na aliyeipenda sana kazi yake.
Gabriel hakuwa na makuu na wakati wote alikua rafiki wa wengi.
RIP Gabriel.😭
Hongereni sana wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena. JPM alisema ni wakati wenu. Asanteni sana kwa kuchapa kazi.
JPM2020 #KaziIendelee#
Tumenunua mitambo mitatu ya kisasa kabisa ya uchorongaji na mmojawapo ni Explorac 235 wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500 kwa siku. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu.
Alisema lazima STAMICO ifufuke, imewezekana.
#JPM2020 KaziIendelee#
Hongereni sana wachimbaji wa Mererani, historia mnaendelea kuandika. Jiwe jingine zuri la kg1.05 limepatikana.
Alisema anataka kuzalisha mabilionea, wanaendelea kuzalishwa kwenye sekta ya madini.
#JPM 2020 KaziIendelee#
Mimi na watangaza nia wengine 11 tumeomba kuteuliwa na chama chetu (CCM) kugombea ubunge Bukombe. Nimeiona hamasa ya vijana wengi kwenye jimbo letu. Nawapongeza wote kwa kuonyesha nia na siasa za uungwana.
Wajumbe watatoa maoni yao kwa kura kati yetu sote. Nawatakia heri wote.
Asanteni kwa ushirikiano wenu wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta ya madini.
Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%.
Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu enyi wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kwa kuitikia tumevuka tena lengo la makusanyo kwenye sekta yetu
Tulipangiwa kukusanya bilioni 470.35 tumekusanya bilioni 479.45 sawa na 101.93%.
Asante Mhe. Rais kwa maono yako kwenye sekta ya madini
599K Followers 1K FollowingMMM | Public Spirited | Sperm That Won The Race | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo Sum | Hasta la Victoria Siempre | Patria o Muerte, Venceremos |
1.1M Followers 8K FollowingMbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
157 Followers 1K FollowingI love @YoungAfricansSc|
A proud husband and a father|
Trust the process|
A teacher |BA.ED|
@UdsmOfficial @Udsm_Alumni-2020|
@ChelseaFc
https://t.co/PjQ9Dq1Pqg 175 -Tari
405 Followers 6K FollowingMTANZANIA WA KUZALIWA,MWANAZUONI,MJAMAA,MIJADARA HURU KILA MTU,NINAKILI KUKOSEA,NAKUBALI KUKOSOLEWA,HAKI NI WAJIBU WA MSINGI KWA KILA MTU 🌏,🇹🇿🥇.
1.2M Followers 1K FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
599K Followers 1K FollowingMMM | Public Spirited | Sperm That Won The Race | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo Sum | Hasta la Victoria Siempre | Patria o Muerte, Venceremos |
1.9M Followers 44 FollowingA multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
1.1M Followers 8K FollowingMbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
155K Followers 66 FollowingSpeaker of the National Assembly of Tanzania 2022 - |Deputy Speaker of the National Assembly 2015-2022 |16th Deputy Attorney General of Tanzania |Lawyer
110K Followers 706 Following🔛#Chadema| Central Committee Member|
A Former Chairperson Of CHADEMA National Youth Council (BAVICHA)|
🔜Next Isimani MP 2025|
Politician & Entrepreneur|
3.2M Followers 1K FollowingOfficial Twitter account for Miguna Miguna. Popular Revolution. Social Justice. Rule of Law. History. Email: [email protected]
567 Followers 2K FollowingYou may need to define me,who is me,Why me and not You?,say what You want me to be like,rite now I’m John’s right hand assistant and Geita town parliamentarian.
1K Followers 440 Followingco-founder @jimberefund, Author of How Dare The Sun Rise. @Ktegenbooks / @harpercollins, activist. Follow me on instagram @sandras_story
600K Followers 9 FollowingBunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
765K Followers 11 FollowingUkurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 | The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania 🇹🇿
1.8M Followers 139 Following4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKF
No recent Favorites. New Favorites will appear here.