Steven J. Matongo @StevenMatongo
💼 SOCIAL THERAPIST Coaching || Counseling || Training Joined July 2019-
Tweets5K
-
Followers7K
-
Following2K
-
Likes114K
Kwenye ulimwengu huu wa FURSA unayo nafasi yakuwa mtu yeyote kama utaweka JUHUDI, ila Tabia na Mtindo wako wa maisha vitaamua hatima yako.
Ajifanyiaye MARAFIKI wengi ni kwa anguko lake mwenyewe; Lakini yupo rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
Mtu asiye mwepesi wa HASIRA ana akili nyingi, bali mwenye hasira ya haraka hudhihirisha na kutukuza UPUMBAVU wake. MITHALI 14: 29.
Linapokuja suala la kufanya maamuzi sahihi, kamwe usipuuze SAUTI YA NDANI. Mara nyingi hua ni sauti ya chini, isiyo na nguvu wala ushawishi. Ni sauti isiyo na matumaini, lakini imebeba hatima yako na ukiifuata inakupa MAJIBU SAHIHI.
Huwezi kuponya MAUMIVU ya usaliti kwakulipa kisasi kwa watu waliokukosea. Njia pekee ni KUACHILIA ili uwe na amani.
Kwenye haya maisha, kamwe usimkatie tamaa Mwanadamu mwenye PUMZI. Unaemuona yupo chini leo hii, kesho Mungu anaweza kumpandisha hadi ngazi za juu. Hivyo, jifunze kuheshimu watu bila kujali hadhi zao, kwani historia hubadilika.
Wakati wewe umejifungia ndani na kuugulia maumivu, kuna mahali watesi wako wanafurahia MAISHA. Hivyo, usipoteze muda kusubiria kisasi au laana kwa watu waliokuumiza. Namna nzuri ya kuponya nafsi yako ni kusamehe na kuanza upya.
Siyo kila unachopoteza kwenye maisha ni hasara, vingine Mungu huviondoa kwa makusudi ili ubaki salama.
Mungu akitaka kuwaokoa watu wake uruhusu jambo baya usilotarajia litokee. Hii inaweza ikawa kazini, kwenye familia, au mahusiano. Hivyo unapopitia ANGUKO usihuzunike, ni sehemu ya mpango wa Mungu kukutoa hapo ulipo na kukuweka mahali salama.
Kwenye MAISHA, hayo magumu unayopitia tambua hauko peke yako. Kwani kila unaemuona anapigana vita ya aina yake. Kwakuwa changamoto ameumbiwa mwanadamu, nakusihi USIKATE TAMAA. Endelea kupambana kwani Mungu anatizama jitihada zako kwa ukaribu na muda si mrefu UTASHINDA.
Muombe sana Mungu akuondolee "ROHO YA KWA NINI" Ukiendekeza ROHO YA KWA NINI" utakuwa mtu wa chuki na fitina hasa wenzako wanapofanikiwa. Utashangaa mambo yako hayaendi, kumbe kuna watu unawachukia bila sababu. Acha kukunja UFANIKIWE.
Kwenye MAHUSIANO, kadili unavyoonesha kujali sana ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kuumia zaidi. Kazi kwako, uendelee kuumia kwa kujali au ujifunze kupuuza baadhi ya vitu ili uishi kwa amani. Punguza kujipa umuhimu, watu hawana HURUMA.
Unapoingia kwenye Mahusiano iandae akili yako kupokea MADHAIFU ya mwenza wako. Ni ukweli mchungu, lakini inabidi ukubaliane na hali. Kwasababu hakuna mkamilifu chini ya jua. Chamsingi, chagua mtu ambae utakuwa tayari kuvumilia madhaifu yake.
Nyuma ya kila unaemuuliza hali yake akakujibu "NIPO SAWA" kuna maumivu na mambo mazito yamejificha kwa watu hao. Ukipata nafasi jaribu kuwasikiliza japo kwa uchache kuna mengi usiyoyajua watakuambia. Hautamaliza matitizo yao, ila kuna namna utakuwa FARAJA kwa yale wanayopitia.
Kwenye maisha kuna watu watakuja na kuondoka, na hii ndiyo asili ya Mwanadamu. Wapo watakaokuacha na Maumivu, lakini jikaze usiwe mbinafsi, waache waende ili Mungu akupe mwanzo mpya. Hii haitakufanya uwe dhaifu ila ni ishara ya uungwana na ukomavu wa kihisia.
Kwenye Dunia hii ya ushindani hakuna Mtu atakaesikiliza historia yako hadi pale utakapofanikiwa. Kwahiyo huna haja ya kujieleza sana mbele za watu, wewe fanya kazi MATOKEO yatazungumza.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya "KULA UJANA" na kuharibu kesho yako. Naam, UJANA umebeba kila aina ya anasa ambazo kwa kiasi kikubwa huteka hisia zako na kukufanya uwe mtumwa. Ni mtego ambao unahitaji NGUVU YA KIROHO ili kuukwepa.
Vipindi viwili muhimu vyakujenga Hali ya UTULIVU kwenye maisha. 1. Kipindi cha RAHA, ni muhimu kujenga Utulivu hasa wakati wa Furaha, hii itakusaidia kufanya Maamuzi sahihi. 2. Kipindi cha SHIDA, unapojenga utulivu hasa kipindi Kigumu itakusaidia usifanye Maamuzi hatarishi.
Namna nzuri ya kufanikiwa kwenye maisha yako ni kuwaombea Mafanikio watu waliokuzunguka. Ni kanuni ya kiasili isiyoonekana kwa macho ya kibinadamu, lakini hufanya kazi kwa weredi. Yaani, kadili Mungu anavyowabariki, ndivyo baraka zinavyokuja upande wako.
Usipolinda hisia zako na kujiwekea mipaka kwenye maisha yako, watu wasiojali watatumia madhaifu yako kujinufaisha.

Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
916K Followers 8K Following what is happening? God is good always @SimbaSCTanzania @ManUtd #Tumshauri
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
671K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Habari Digital @HabariDigital_
241K Followers 2K Following Kwa Habari, Burudani na Matukio, Kitaifa na Kimataifa, Saa Ishirini na Nne, Siku Saba za Wiki.
#GWIJI🔴 @athanas_pius
249K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer📡|| We live everyday & We die once|| @gwijiStepstz| @AfroJuiceBar||@PlanB_Bistro,Tanga🍻
Zee La Nyeti 𝕏 @OriginoZee17
322K Followers 7K Following Truck Driver|Professional Driver|Harakati Za Mtu Mweusi @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC Fan
Ms Bee🌹 @Mrsdaviee
213K Followers 11K Following IWIFE TO @Daviedavie_ | MOTHER TO 3 KIDS |NKOSIYAMI| GOD OVER EVERYTHING| NAPENDWA SANA| I LOVE YOU DAVID❤️
James Munisi @NjiwaFLow
198K Followers 30K Following Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Punter | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |
Jayleen 💞 @JayleenRickie
229K Followers 7K Following G.O.E🙏...| Life Therapist | _Live_Love_laugh_ For Cakes🎂 visit @leenbites_tz
chuga girl❣️ @Lizzie36021
169K Followers 13K Following Daughter of living God🌹 Psalm 107:1 CHUGA FINEST❤🙏
𝗗𝗼𝗿𝗻𝗻�... @dornnie
63K Followers 10K Following | None of us can choose our destiny and none of us can escape it | DESTINY IS ALL |
MWAGITO @Mkuruzenzi
61K Followers 5K Following I am a Designer, yes I do designs; Graphics, Websites & Logos. I also do SMS Marketing. Kuja DM kila kitu kinazungumzika ✌🏾
ProsperNow. @prossoff
137K Followers 2K Following A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.
Rastafarian culture @Ireneigora
104K Followers 4K Following Take it Easy I didn't mean to hurt you 🧎🤥
𝕺𝖇 💊 @Obofficial3
101K Followers 4K Following | 𝕺𝖇 | 𝙢𝙖𝙣 𝙤𝙛 𝙝𝙚𝙖𝙡𝙩𝙝 💉💊🔬 | 𝐅𝐈𝐅𝐀 🎮 | 𝐌𝐁𝐄𝐘𝐀_𝐁𝐎𝐘 | #hekimazaob | Joker | Man u 🛑 & Simba 🦁 fan | The owner of @DakaMoviesStore
Thara @defi_Thara
54K Followers 7K Following |Blockchain Enthusiast/Investor 📍Exploring the intersection of blockchain,cryptocurrency, and innovation. DM for collaborations and proposals📨
Holy @yose_hoza
161K Followers 33K Following Digital Inclusion | Telecommunication Engineer | #ElimikaWikiendi
Sia Da Vinci💎 @siadevinci
46K Followers 4K Following Geopolitics and what's going on in the world from my own perspectives. Terrorising Misinformation. 🥵Hate Politicians!
Giftedfragrance😋�... @unyunyumatata
4K Followers 2K Following Just Out Here Blessing The World With More Perfume Original Brand Designers & Arabic masterpieces🔥🙌🏾
Khalfan Shaib❄ @KhalfanShaib7
1K Followers 7K Following Medical lab Scientist👨🔬 Adventurer⛹️♀️./ From Zanzibar YouTube https://t.co/mbBidasfj1
Awnoori @Awnoori13902
54 Followers 2K Following
Flaudea @Flaudea30746
35 Followers 1K Following
Inauago @Inauago7154
40 Followers 1K Following
Afro @Afrotheking
584 Followers 3K Following
Beaha @Beaha976
36 Followers 650 Following
Kelli Bauch @KelliB39921
61 Followers 3K Following
martha banda @marthaband7386
1K Followers 7K Following WITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
Dastan Shayo @DastanS58510
5 Followers 29 Following
Busisiwe @Busisiw43
2K Followers 4K Following
#CERTIFIED JOBLESS AC... @winani_herman
646 Followers 2K Following
Tivors @Tivors7222
50 Followers 2K Following
Comrade93. @stanleysamwel22
375 Followers 3K Following
Padebe stoo @GregoryCle86748
717 Followers 5K Following It’s padebe stooo again Most trusted dealer 🏪Shoes Kingdom +255624082651 📍 Tanzania dar es salaam kariakoo
Creative Minds Archit... @cm_architectsza
46K Followers 36K Following Transforming Dreams into Reality: Your Trusted Partner for Architectural Design and Property Development in South Africa.
LUCK FROM GOD @phidelisi22700
786 Followers 7K Following MR DOCUMENTARY FREE SPEAK CLASS 🗣️ GBFM MGODINI BRAND
Delphinus Deusdert @DelphinusD518
238 Followers 1K Following
Tyrique Smitham @TSmitham36485
108 Followers 3K Following
Che Guevara @CheGuevara25137
0 Followers 22 Following
Jimyson Brayson Ngowi... @NgowiBrays15058
1K Followers 5K Following Mwanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam- DUCE. Mwanasaikolojia.. Mzalendo🇹🇿
Msakatonge_ @Mnofu12
98 Followers 665 Following Ifakara Agripreneur Ent.. Fukara Foundation. Young Agriculture based Entrepreneur. Dreaming High. Aluta Continua.
malale interpreuner a... @AjaniMalal72889
185 Followers 2K Following Mr . political scientist and public administrator
DouglasMboya. @DouglasMboya3
22K Followers 23K Following Tunauza vifaa vyote vya ujenzi tunapatikana Arusha mtaa wa sabena simu 0755-868931 pia tunauza viwanja kwa ajili ya ujenzi na mashamba maeneo yote Arusha na Dar
Marian Lesch @LeschMaria50776
74 Followers 1K Following
Bernard Kapya @BernardKap42408
1 Followers 11 Following
Elithinker @AntoniElifasi
185 Followers 2K Following
Godfrey Mchonde @MchondeGod75525
15 Followers 440 Following
Tumain Machibya @MachibyaTu58381
8 Followers 89 Following
HUSSEIN MAJALIWA @majaliwa_H
1K Followers 6K Following katibu hamasa kata ya kitunda na mwenyekit mstaafu wa Uvccm kata ya kitunda#SSC
Constantime Mashaka @Constantim39933
7 Followers 24 Following
emmanuel kiwone @KiwoneK3397
15 Followers 352 Following
DanfordKuya🇰🇪 @manhyabulux
132 Followers 820 Following
Yhawxir @Yhawxir4296
139 Followers 3K Following
Arnoldo Lakin @LakinArnol56065
113 Followers 3K Following
MEXHIZZY @mexhizzy1
263 Followers 1K Following “One thing about life, when you makin' some millions, it could always be dangerous”
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
50K Followers 48K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Ibrahim Shemng'ombe @IbrahimOmb25132
0 Followers 57 Following
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
916K Followers 8K Following what is happening? God is good always @SimbaSCTanzania @ManUtd #Tumshauri
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
671K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
374K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
Martin Maranja Masese @IAMartin_
600K Followers 1K Following MMM | Public Spirited | Sperm That Won The Race | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
M.D (🅨) @ReganTesla_
115K Followers 4K Following M.D & Life Coach 🌳 ✊🏿GOD 1st https://t.co/gGPpFQh0et 🏚️ APPLIANCES STORE. GENUINE PRODUCTS. TV, FRIDGE, AC, SOUNDBAR & ....... 📞 0716006808
Ayubu Madenge @ayubu_madenge
379K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
SANUKAnaCHAPO @chapo255
443K Followers 3K Following || PR || Writer || Bongo Flava || Building bridges between artists, brands and fans with creative strategies || Let's make Bongo Flava move continents ||
Daktari Wa Manesi �... @McinikaWaLamar
830K Followers 2K Following 💼 Social Media Guru| Influencers Manager | Content Creator | Sensei | Digital Strategist | Master Mind
WHYMYCATISSAD @INFLUENCERjr
306K Followers 3K Following Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka
Habari Digital @HabariDigital_
241K Followers 2K Following Kwa Habari, Burudani na Matukio, Kitaifa na Kimataifa, Saa Ishirini na Nne, Siku Saba za Wiki.
MIRIAM💜 @MiriamMkanaka
387K Followers 1K Following MIMI💜, A Writer, Inspirational speaker , God first, Isiah 60:22, Legal advisor, Instagram @MiriamMkanaka, I love @Arsenal Founder of @MaabaraYaSheria
#GWIJI🔴 @athanas_pius
249K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer📡|| We live everyday & We die once|| @gwijiStepstz| @AfroJuiceBar||@PlanB_Bistro,Tanga🍻
Adventure-360 @Adventure_36
180K Followers 1K Following Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�... @Labella_Mafia95
209K Followers 5K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard
Carol Ndosi @CarolNdosi
599K Followers 3K Following #WomenInTech #KilimoNaCarol #Foodie | Digital Inclusion | Comms| SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @_123productions
Zee La Nyeti 𝕏 @OriginoZee17
322K Followers 7K Following Truck Driver|Professional Driver|Harakati Za Mtu Mweusi @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC Fan
Balyx @Balyx_
153K Followers 7K Following On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️
Hasta La Victoria Sie... @Oktoba29
18K Followers 57 Following Hasta La Victoria Siempre. Mpaka Ushindi Bila Kuchoka✊ DM for anything i reply instantly, News, Ads, Claim, info. #Oktobatunazika #KataaWahuni
Shekh Ponda Issa Pond... @SheikhPonda
28K Followers 281 Following
Dante Signal31 @dante_signal31
4K Followers 3K Following Loco por hacer videojuegos, desarrollar en múltiples lenguajes, cacharrear y aprender.
Neema Lugangira @neemalugangira
23K Followers 4K Following Proud Mother👫| Proud GrandMa 🎀 | SG @WPLeadersOrg | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica @TheAFSPaN | Co-Chair @SUN_Movement | Former MP 🇹🇿
Small Business Elevat... @SB_Ladder
13K Followers 49 Following Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
ZITATU @max_zitatu
234K Followers 563 Following
AL HelmsMan @ALHelmsman_14
9K Followers 7K Following THE LORD OUR RIGHTEOUSNESS.💚 ||Seaman⚓️|| @YoungAfricansSC🔰 & @Arsenal @Pamba_jiji ⚽️ || Photographer📸 #SeaIsMySecondHome
Unite @ifafricaunite
14K Followers 605 Following We are captives of our own identities, living in prisons of our own creation.
Luhaga Mpina @LuhagaMpina
26K Followers 17 Following Mgombea rasmi wa nafasi ya Urais kupitia ACT Wazalendo. #OktobaTunalindaKura
Donald J. Trump @realDonaldTrump
109.5M Followers 53 Following 45th & 47th President of the United States of America🇺🇸
Bixen @heisbixen
41K Followers 3K Following Philosophy, Psychology, Motivation,Betting.Learn From The Wisest & Smartest People Who Ever Lived On Earth and Teach You How To Heal. God's Masterpiece.
haitham mohamed @Haithamjr1
1K Followers 5K Following 💎public speaker | 💎 Graphics Designer | 💎Entrepreneur | 💎waziri wa katiba sheria na utawala bora chuo cha uhasibu arusha 2023/2024 https://t.co/QYnidNINlF
MY TIME IS NOW @Celine6600
5K Followers 6K Following
Manawa @DavipManawa
49 Followers 1K Following
bokeem de guzman @shizo198
64 Followers 123 Following call me jandarumaaa .. only God can judge me !!! the lost man .. mwana dar es salaam…
Dachi Rashidi @dachi_rashidi
252 Followers 535 Following Dachi Group of Companies Ltd, Senior Medical Research, Medical Psychology and Behaviour changes, Medical human criminology and forensic medicine. Naturopathy
zomba @zomba119
59 Followers 1K Following
Bank Alert @NextBil
159 Followers 556 Following Medical Doctor (MD), Trader @financial markets, Non partisan, God Over Everything.
Peace And Love @PeaceAn53909929
133 Followers 1K Following
ustaše @theUstashe
1K Followers 1K Following Citizen | Person-centered thinking | Patriot | Anti-CCM | Anti-Communist | Ultra-nationalist | Pan-Africanist
Joe Mathew Musonda @mathew_musonda
389 Followers 401 Following
Mzee Chepeo @ChepeoMzee
53 Followers 209 Following
sangulamahenge @sangulamahenge
15 Followers 888 Following
Clemence Lema @clemence_s_lema
85 Followers 544 Following
Majaliwa James @MajaliwaJa98005
43 Followers 355 Following Name majaliwa mwalimu lakini pia ni mkemia
Lucas Ndunguru @LucasNdung9278
53 Followers 92 Following
frank97 @frankpatri84456
5 Followers 51 Following
Kadogo551 @Kadogo551
1K Followers 370 Following
Renatus Nyanda @Nyanda_19
28 Followers 76 Following A nurse advocate,Human rights & profession activist,Change Agent.
meston @mest0n_46
15 Followers 82 Following
jonas madete @MadeteJona93791
3 Followers 63 Following
Ahu @Ahu86045081
16 Followers 75 Following
Yunzu @Yunzu10
10 Followers 15 Following
Kisse @Kisse60561449
7 Followers 58 Following
Petro Daudi Kibebeti @PetroKibebeti
8 Followers 72 Following
JD @DRDIDAS
3 Followers 88 Following
Stevardy Perez @Stevardy00
7 Followers 5 Following
Gú Téng @giikcyber
3 Followers 58 Following
Nesphory Magembe @NesphoryMa45217
1 Followers 18 Following
Hamza Mwangomale @hazmwango
89 Followers 184 Following