Search results for #Kwaresima
Sio kila mwenye hana basi hana bidii, na sio kula mwenye hana ni mvivu, mwombe Mungu kila wakati. #Kwaresima #Lent2024
Tunaelekea katika msimu wa pasaka na tunakuletea nyimbo za #Kwaresma kwenye playlist yako ya Jumapili ili uweze kubarikiwa 🎶🎶 Download #Kwaresima mix ambayo inashirikisha Kwaya kubwa ya Mt. Cesilia hapa: mdundo.com/song/2891188 #PakuaHapaMdundo #MdundoTZ #NyimboZaInjili
Sikiliza nyimbo za Injili za #Kwaresma kwenye mix yetu ya leo tunapoelekea kwenye msimu wa pasaka 🎶🎶 Download hapa: mdundo.com/song/2875530 #Kwaresima #Pasaka #NyimboZaInjili
Lakini hata Sasa asema bwana Nirudieni Ninyi kwa mioyo yenu yote #Kwaresima🙏
Jumatano ya Baraka kwa ✝️ Tunawatakia Heri ya Mfungo wa Kwaresima Wakristo 🏥 Duniani Kote. #Kwaresima #JumatanoYaMajivu
ℕ𝕚 𝕁𝕦𝕞𝕒𝕥𝕒𝕟𝕠 𝕪𝕒 𝔹𝕒𝕣𝕒𝕜𝕒!🙏🏻 Tunapoianza safari ✝️ iliyoambatana baraka tele, tunawatakia heri ya mfungo mwema wa Kwaresima ndugu zetu Wakristo ⛪ duniani kote. #JumatanoYaMajivu #Kwaresima #CRDBBank #Tunakusikiliza
maisha yetu na kutupa mwanzo mwema wa maisha katika Kristo Yesu. #IjumaaKuu #Kwaresima #KaziIendelee
#SALAMU: CCM CHINA INAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA. Katika kuadhimisha siku ya kifo cha Yesu Kristo; Mwenyezi Mungu atujalie tafakuri njema ya dhabihu ya mateso ya Bwana Yesu katika maisha yetu na kutupa mwanzo mwema wa maisha katika Kristo Yesu. #IjumaaKuu #Kwaresima #KaziIendelee
#Kwaresima Vs #Ramadhani. Ipi inayopewa uzito na wadau wake?
#Kwaresima Nchi inazizima 🙏🏿 youtu.be/LzxuOsbBIL4
#SALAMU: TUNAWATAKIA JUMATANO YA MAJIVU NA KWARESIMA NJEMA. Mwenyezi Mungu atujalie moyo wa sala, toba, upatanisho, unyenyekevu, huruma na upendo katika kipindi hiki cha kwaresima. #SikuYaMajivu #Kwaresima #KaziIendelee

Jumatano njema ya majivu na mwanzo ulio mwema wa kipindi cha kwaresima. Mwenyezi Mungu atujalie moyo wa sala, toba, upatanisho, unyenyekevu, huruma na upendo katika kipindi hiki cha kwaresima. #SikuYaMajivu #Kwaresima #KaziIendelee

@SuluhuSamia Jumatano njema ya majivu na mwanzo ulio mwema wa kipindi cha kwaresima. Mwenyezi Mungu atujalie moyo wa sala, toba, upatanisho, unyenyekevu, huruma na upendo katika kipindi hiki cha kwaresima. #SikuYaMajivu #Kwaresima #KaziIendelee
“Tubuni na kuiamini Injili” Mk 1:15 #Kwaresima #Lenten2023
#Kwaresima songs are really the best to listen hasa ukiwa na mawazo!
Haitoshi kwenda msikitini/kanisani na kushiriki ibada, unatakiwa kuchukua hatua zaidi... #Ramadhan #kwaresima..